huatong
huatong
avatar

Siringi

Josephyl/iPhoolishhuatong
mostbeautifulsoulhuatong
الكلمات
التسجيلات
(Vic did it again boy)

Iphoolish

Wetokis ananiita daddy (eehh)

Niko kwa hii beat na siringi (cheki)

Mmhh ma mamy niko kwa hii beat na siringi

The way you shake your bom si manze unanibamba

Dem mkamba mi ntakaza kamba

Kwanza nipe number ikuwe rahisi kukupata

Na nikikupata mi nitachapa chapa

Na ninapenda izo mapaja

Vile zinawaka nazipapasa kwanza tukiwaka

After umeturn on utajua mi ndio papa

Naturn off theme utadhani nikona ubaya

Vile ntacheza na shingo utadhani mi ni vampire

Natoa tu mastingo utadhani mi ni Acrobat

Kama compass miguu apart namchota kaa tractor nikifinya bumpers

Wetokis ananiita daddy (eehh)

Niko kwa hii beat na siringi

Mmhh ma mamy niko kwa hii beat na siringi

Machekri shilingi niko kwa hii beat na siringi

Kus kus naichapa inabeat

Niko kwa hii beat na siringi

Machekri shilingi niko kwa hii beat na siringi

D*ck long unaweza dhani rhumba

Chunga watoi naeza umba

Lugha mi hutupa chupa kuchupa

Saa hii zimelipuka size ya kidonkey

Crush ni ya noti dem skinny njiti pongi toa moshi

Dem kaa ni soshi ye hupenda njoti

Choki soki flow inanoki

Wetokis ananiita daddy

Niko kwa hii beat na siringi

Mmhh ma mamy niko kwa hii beat na siringi

Naichapa inadedi niko kwa hii beat na siringi

Machekri shilingi niko kwa hii beat na siringi

Kus kus naichapa inadedi niko kwa hii beat na siringi

Machekri shilingi niko kwa hii beat na siringi (psycho)

Niko kwa hii beat na siringi

المزيد من Josephyl/iPhoolish

عرض الجميعlogo