Ooh Kasuku mwenye sauti nyororo
Mususu ya soro ndombolo
Na bando letu la buku
Twapeluzi mpaka tommorrow
Mambo iko huku Penzi twalila kwa solo
Hmmm Anipelekesha msobe msobe
Kama fuso lapanda mlima
Na nilivyo fundi kuchelewesha
Kobe kobe Simpi dusko nzima nzima
(aah)
Mukoroge sumu mnywe
kwenye vijiba vya roho
Yata watoka mapunye, mumwe kwashakoo
Tena wavimbe na wanune ishakua yako
Itafune imung'unye ifike kunako,
Oh baby, Kushika kiuno
(tamu)
Niku chumu chumu
(tamu)
Niki kukumbatiaa
(tamu)
Tamu kolea
Penzi letu baby
(tamu)
Yani mpaka kisogoni
(tamu)
Torororoo
(tamu)
Tamu kolea
Baby tufanye wazi wazi watuone
Picha weka DP na makopa kopa caption
Baby walokosa kazi wanong'one
Wapandishe BP Wapumue kwa o ygen
Waambie vimberu mberu
Sio penzi la mashaka
Tusha soma dua kusitirika
Kwa wenye macho ya paka
Wambiee, Mimi beberu sio jogo la pasaka
Wanajizugua kukunja
ndita watazeeka haraka
Steel wire ananisugua
(Kwa makovu kovu)
Hanaga mbaya laazizi
(Show mbovu mbovu)
Tena fundi mwaya Kazi anaijua
(My love love)
Haijawahi kupwaya yani kiivi
Haa..aah..
Mukoroge sumu mnywe
kwenye vijiba vya roho
Yata wa toka mapunye, mumwe kwashakoo
Tena wavimbe na wanune ishakua yakoo
Itafune imung'unye ifike kunako ooh baby
Kushika kiuno
(tamu)
Niku chumu chumu
(tamu)
Niki kukumbatiaa
(tamu)
Tamu kolea
Penzi letu baby
(tamu)
Yani mpaka kisogoni
(tamu)
Torororoo
(tamu)
Tamu kolea
Ebo baby mtoto kakua
(Kasima dede)
Nimtazame
(Kasimama dede)
Mwana anatembea
(Kasimama dede)
Yani tee tee
Anataka aking'ate
(Kasimama dede)
Kaona kitumbua
(Kasimama dede)
Amekua baba
Yani te te eeh..!