huatong
huatong
avatar

malaika

Nyashinskihuatong
Abel🇰🇪*singshuatong
الكلمات
التسجيلات
ukona tabia za kupendeza roho

tabasamu ya kupapasa macho

sauti yako nikiskia pia natulia inanipunguzia hasiza nazo

wema wako ulininasa roho

siku ya kwanza kukuona kwa macho

sa moyoni umekwamia siwezi kutania njoo unipunguzie mawazo

and i feel youu in the air when i breath

i see you in my dreams when i sleep

ur the one ive been waiting for all my life

mmmmmm

and deep down in my heart i believe

unanifeel nakufeel hii ni real

the one ive been waiting for all my life

uko sawa na, wote malaika na mabawa yao

wote wanakuiga we ndo mama yao

ni wewe nachagua sisemi nao

sisemi ohh baby uko sawa na

wote malaika na mabawa yao

wote wanakuiga we ndo mama yao

ni wewe nachagua sisemi nao

sisemi ohh sisemi

and even though ive never been here before

somehow i know that this is how it feels to fall in love

oh baby you know i love you

i place know one above you

i need you in my life

forever and ever you will always have my heart

were meant to be together me and you-uu

oh we are youu

niko sawa naa wote malaika na mabawa yao

wotte wanakuiga we ndo mama yao

ni wewe nachagua sisemi nao,

sisemo ooh baby uko sawa na

wote malaika na mabawa yao

wote wanakuiga we ndo mama yao

ni wewe nachagua sisemi nao

sisemi ohh sisemi

المزيد من Nyashinski

عرض الجميعlogo