Si unajua tu ni nani, Rico
Si unajua tu ni nani
Waka waka waka waka
Si unajua tu ni nani
Eeeh man a bad man ting
Si unajua tu ni nani
Ochungulo family
Safisha acha kuchachisha
Cheza chini buda unakatsia
Safisha acha kuchachisha
Unachoma unaburn una, eeeehhh
Unachachi chachi chachi chachi
Chachi chachi chachisha
Chachi chachi chachi chachi
Chachi chachi chachisha
Eeeh,unaharibu unachachisha
Nakuita form eeh unaniaibisha
Mamanzi umekam nao sura zinatisha
Ni magazla wanachachisha
Zao hazishiki manze tei inaisha
Hey yooh Roba, ebu jooh itisha
Juu watu wametii, hiyo form imejipa
Hey yooh DJ, pull up selector
Maodi wanadance wanatoa hadi shirts
Na mamanzi wanadance wanatoa underpants
Wanachoma wanaburn wanachachisha
Pale social media tu ni mapicha
Hizo pics na maphoto wanaedit
Wanacrop
Sijui photo grid like you photoshop
Hiyo beat ikidrop wanadance tu na shorts
Ebu
Safisha acha kuchachisha
Cheza chini buda unakatsia
Safisha acha kuchachisha
Unachoma unaburn una, eeeehhh
Unachachi chachi chachi chachi
Chachi chachi chachisha
Chachi chachi chachi chachi
Chachi chachi chachisha
Mi nachachisha unalalisha
Pararera mingi buda akisha
Tuliwatisha tukiwakisha
Para za kunego tulizamisha
Buda kalisha saka Aisha
Sijali shida zako za kimaisha
Mi napaisha nikisafisha
Ukitaka kunicheki lola kwa picha
Ama
Washa kolo washa kolo
Nataka nikucheki kila dakika
Na mtaani nisifike kaa hujapika
Nitakatsika sitajazika
Usibonge juu ya life kaa hujazika
Toa pazia songa kwa njia
Na pongi sitosheki kaa hijawika
Kuna pahali unaangusha unabambika
Aaiiihh
Safisha acha kuchachisha
Cheza chini buda unakatsia
Safisha acha kuchachisha
Unachoma unaburn una, eeeehhh
Unachachi chachi chachi chachi
Chachi chachi chachisha
Chachi chachi chachi chachi
Chachi chachi chachisha
Nikibimabima kisinsima
Niko maubao pakua kaa sima
Tukifika mtaa kuchimba kaa kisima
Hata nikimbao hii bado ni chumaaa
Uaaa
Eeeyyy, ABC cheki D, cheki D
Hata ukuwe S mi sitii, siezitii
Eeey find X alizidii tangu niwache
Kugive a F nimekuwa G
Atii
Unapiga shot moja unazima
Tangu handshake wanazidi kutupima
Madeni madeni tumekuwa wa China
Unadai date hata hunijui jina
We ni msupa tu kwa picha, chachisha
Kudandia form imejipa, chachisha
Uko 12 years una mimba, chachisha
Ata hizo ngoma zenu zinaaa
Safisha acha kuchachisha
Cheza chini buda unakatsia
Safisha acha kuchachisha
Unachoma unaburn una, eeeehhh
Unachachi chachi chachi chachi
Chachi chachi chachisha
Chachi chachi chachi chachi
Chachi chachi chachisha
Chachisha mi nachachisha
Mokoro anajua mi nachachisha
Wakisha mi nawakilisha
Sauti mtaani mi nawakisha
Pakisha hawa wajanja
Buda unachoma unaivisha
Mashada na magala
Apa tunacheza tunachachisha
Cha cha cha cha cha chachishaaa
Eeeh, Rico
Cha cha cha cha cha chachishaaaa
Eeh, Ochungulo
Cha cha cha cha cha chachishaaaa
Eeh, waka waka
Cha cha cha cha cha chachishaaaa
Eeeh, man a bad man ting