logo

Make Up

logo
الكلمات
Siri ya urembo ni make up, mmmmh ni make up

Siri ya urembo ni make up, eh ni make up

Si urembo ni make up, mmmmh ni make up

Si urembo ni make up, eh ni make up

Hello Hello ni Maybelline

Ni Alenjandro nitakusaidia aje Lynn

Mlisema kutakuwa na offer juzi

Ati mtafanya nikae kama Chungli

Ati mtafanya nikae ka Italian wa Azuri

Ati kuna venye eyelash zenyu ni mwavuli

Ati pata pesa ndo utajua maana ya sabuni

Usipake foundation ka ana vumbi

Kuna dem anachanga changa

Anabuy make-up ya kupaka paka

Kuku kuku manga manga

Turi turi dara dara

Siri ya urembo ni make up, mmmmh ni make up

Siri ya urembo ni make up, eh ni make up

Si urembo ni make up, mmmmh ni make up

Si urembo ni make up, eh ni make up

Siri yangu when I wake up, aii, I bake up

Siri yake when she wake up, aii, ni make up uii

Atoti mascara, lipstic imekaukia kwa sigara

Crop-top umebuy ya past Ngara

Swara swara mi nakwara

Aii dem hutoa maziwa na hakulangi nyasi

Wasi wasi unaweza jua ka ana wasi wasi

Ni karembo mpaka kanapiga mpaka nywele pasi

Side chic ndo huwacha lipstic kwa shati, aaii

Siri ya urembo ni make up, mmmmh ni make up

Siri ya urembo ni make up, eh ni make up

Si urembo ni make up, mmmmh ni make up

Si urembo ni make up, eh ni make up

Seti seti, seti hiyo turi Wilbroda

Seti seti, seti kigode na mafathela

Ni, niko na keys for the city

Kingpin streets za hii city

Tycoon mpaka Kariobangi

Papa ju ya goro na manjiri

Nina madem huleta ushuru

Madem mapoko uzia Uhuru

Madem mapedi Buru Buru

Madem masufferer kutoka Uthiru

(Hello I wish wondering if you could play tha song again)

(Which one men? 'The one that goes...')

Eeeh ayee, eeh ayee, eeh ayee

DJ ongeza volume ndo tunyambishe speaker

Namdinya na G Bag ka ni wa Thika namdinya na njiva

Namdinya ka FIFA akinikasirisha

Namdinya kwa pipa namdinya kwa Nisan

Ukinilipa nitamdinya kwa G class

Aiyayayaya nabonga venya nataka

Hamwezi nikataza ka inakuumiza

Kuna Daudi Kabaka ndo upate baraka

Na ukiniuliza unapenda mahaga ya dem kahaba

Na akikulisha utalazwa Kenyatta

Ushonwe viraka aiyayaayya

Ezekiel Mutua naskia mtoi wako anaskiza Gengetone

Ezekiel Mutua naskia bibi yako anapenda Gengetone

Mahater mahater ni wengi nawatahiri leo na machete

Hao bitch - kwa gazeti, headline news telly

But leo sikam harusi nakam na bakuli imejaa matusi

Nawamada ka HIVirusi mnatupangia sisi harusi

Wajinga wajinga, wajinga nyinyi

Wajinga wajinga, mutuwache sisi

Wajinga wajinga, wajinga nyinyi

Wajinga wajinga, mutuwache sisi