logo

Mpenzi Mtazamaji

logo
الكلمات
Sinanga chopa matatu ndo hunibeba bure sinanga chopa walai man bad

Man ting mpenzi mtazamaji mi na kata maji mpenzi mtazamaji mi na

Kata maji hmmmmh mi sina ubaya

Sinanga ubaya mi sina ubaya sinanga ubaya

(Nelly the goon)

Aii beba beba akikuja mi na dekadeka teka nyama iki dekadeka napenda

Kukachocha kaki cheka cheka na kwa bash mi na meremeta mjulubeng ndo

Naketa keta na changanya changanya ka caburator body figure toa

Kakurator nikonyeshe math ka co-oparetor usijali ndo nta rator

Nakuanga naconnect na coordinator sina time ya call me later aiiii

Mpenzi mtazamaji mi na kata maji mpenzi mtazamaji mi na kata

Maji hmmmmh mi sina ubaya sinanga ubaya mi sina ubaya sinanga ubaya

(MEJJA)

Msupa ukofine unakaa manzi ako 20 na uko 35 nitakurarua leo kama

Tumbo fry ama karegani ama namna gani manze kuna vile nakutamani vile

Nakunywa makali mina kuogopa vile una chapa flash we ni wa monyota

Una penda genge naona ukizitoka jina yako ig nataka kukustock sipendi

Ma mbleina mbleina mihu wa block umetoka salon nabado nakusuka

Usiskize hudah usi funge duka ya yo mpenzi mtazamaji (okwonko) mi na

Kata maji mpenzi mtazamaji mi na kata maji hmmmmh mi

Sina ubaya sinanga ubaya mi sina ubaya sinanga ubaya

(DMORE)

Politic

Jeshi iko tick

Jomo tick

Luku luku tick

Mangeus tick

Madoba ni tick

8 tick

Shhhhh shhhhhh tick

Mama Mia sema unachotaka mama Mia sema unachotaka kayela sema

Unachotaka sema unachotaka mi hufadhili sijaanza juzi mpaka ka sonko

Mi na ujuzi bombo clat hatu pendi upuzi maedbar mwenda chizi aiiii

Mpenzi mtazamaji mi na kata maji mpenzi mtazamaji mi na kata

Maji hmmmmh mi sina ubaya sinanga ubaya mi sina ubaya sinanga ubaya

(BENZEMA ALEHANDRO)

Alehandro niwewe umepupu kasi DJ AMA bonza mina shuku Niko na kweria

Nime fuga kuku mayayi ya dinosaur hutoshana na jugu miss Kenya ali

Use mwakenya Jimmy gates atapata bibi tena Cinderella ni agent wa

M-pesa sienzi katia dem anaitwa philomena nani anauliza tena yakupika

Omena tatu ka za school fees ame hepa jela nani

Mtiaji princi AMA depa ukipatwa naukedi utasema

Mpenzi mtazamaji mi na kata maji mpenzi mtazamaji mi na kata

Maji hmmmmh mi sina ubaya sinanga ubaya mi sina ubaya sinanga ubaya

(KANSOUL)

Nio niaje bebi usipoteze time si unajuanga mejja anakuanga na wife

Nelly hakuangi serious na life lenga benzema si unajua ni fisi dmore

Na mandom siunajua ni chizi imebaki nani si imebaki mimi kuja ni ku

Show maisha ya rithi usare ma uber uingia Mercedes usare

Fuliza niku pe shillingi watcha toy market twende garden city

Sinanga ubaya

Mpenzi Mtazamaji لـ OCHUNGULO FAMILY - الكلمات والمقاطع