menu-iconlogo
huatong
huatong
লিরিক্স
রেকর্ডিং
Ni saa moja,

Na giza ya bisha,

Hata bila kujulishwa,

Kila mtu nyumbani,

Ni saa moja,

Na giza ya bisha,

Mchunguze mwenzio,

Macho kwa telly, ooh,

Visa vya anga,

Kila mtu yu kimya,

Twangoja vidokezi ooh,

Huzuni wajaa hewani,

Visa vya anga,

Kila mtu yu kimya,

Twangoja vidokezi oh,

Huzuni wajaa hewani,

Na hakuna furaha,

Watu wajishika tama,

Twalia kwa ndani,

Huzuni moyoni,

Hakuna furaha,

Watu wajishika tama,

Twalia kwa ndani,

Machozi moyoni,

Juu na visa oh,

Vyatuvunja mioyo,

Ukifungua macho hautamani, uonacho, oh,

Baba twajiweka,

Mikononi mwako,

Juu machozi yetu, yamekuwa chakula chetu,

Mara baba, kamshika mwanawe kwa nguvu,

Mwingine kajitia kitanzi, baada ya mapenzi,

Na yule, kasahau nduguye akifuata mali,

Sasa ni upanga, kupigania shamba,

Na hili halikosi, vita, kati ya dini,

Hatuelewani, wakristo, waislamu,

Kutwa kucha, tuko vitani,

Hatuelewi, hautelewi,

Mara ukabila, mara vita, ya mataifa,

Hatuelewi, hatuelewi,

Maskini walia hela, aliyenazo yualia amani,

Hatuelewi, na hatuelewi,

Na visa oh,

Vyatuvunja, mioyo,

Ukifungua macho, hautamani uonacho,

Ooh baba, twajiweka,

Mikononi, mwako,

Juu machozi yetu, yamekuwa chakula chetu,

Na visa oh,

Vyatuvunja, mioyo,

Ukifungua macho, hautamani uonacho,

Ooh baba, twajiweka,

Mikononi, mwako,

Juu machozi yetu, yamekuwa chakula chetu,

Mara ukabila

Hatuna usalama Kenya

Tunalia sana, Mungu wetu

Bahati থেকে আরও

সব দেখুনlogo