menu-iconlogo
huatong
huatong
লিরিক্স
রেকর্ডিং
Mmmmh

Ni kubaya, yay

Bazenga

Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya

Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya

Ay, msupa atoti, ndai ni German, ni ya Ulaya

Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya

Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya

Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya

Woi, kairetu msafi, mbota, durag, shingo mawaya

Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya

Yo, Bazenga,

Jua ni kubaya, imba kaa choir

Cobra ni King, bazu ni giant

Tangu tene, Breeder mi ni short wire

Leta zogo ndio utafinywa na pliers

Rap game, nimesimama kwa dais

Sembe na mala na kunde kwa diet

Tabia za Baha na nguo za Diana

Zitafanya nifuate dini kwa science

Nikikafunga na copy Jalang'o na-pull up na Beamer kwanza ki drop top

Mkwela alijifanya high class after mechi si alidishi ma popcorn

Kwa shingo waya zimebeba ma karat, trao imefura kwa mbosho

Na vile wana pupa kaa refa wa wreso undertaker nawapiga ma tomb stone

Vile nawastua kama box x

Ndege maziwa nazioshanga tu na Topex

Itabidi wamejua bado mi ndio chosen

Opp alitupwa ndani ya tank kama Cohen

Niko fully loaded, sijawahi kosa content

Delivery noma, mistari nafikisha doorstep

Tuko tu mamoshi kaa takeoff ya rocket

Breeder, Omollo kuwa sure hii ni problem

Na siezi ngoja ku invest mamita

Zitaletwa na ngoma napiga

Tough Klan naigeuza kanisa

Juu ma cosign napata na sifa

Kaa si TK, ni Blu Ink kwa speaker

Piga mrazi na chupa kwa kichwa

Me napata baraka, si kissmart

Wengi wao walikam wakapita

Si ni shocking kaa Blanka

We bado una mbogi mi nazoza one man

Mi ni headbad hadi staff room nanyamba

Na naachia depa na princi lawama

Niko bypass, 105 nakanyanga

Juu kuna maganji nafuata Langata

Hapo mneti wana hate ingi sana

Na tukipatana wako nervous

Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya

Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya

Ay, msupa atoti, ndai ni German, ni ya ulaya

Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya

Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya

Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya

Woi, kairetu msafi, mbota, durag, shingo mawaya

Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya

Yo, check it, yo

Rada ni chafu, washo tumefika, hawajajua ni kubaya

Mi ni moto, na vile nawa-son, jua ni ku-fire

Tuliona ukizoza na ndechu kwa IG, ukajua niku-hire

Na vile huyu shawty anagawia umati, hujajua ni ma

Breeder alinisho, OG nina banger, nikamwambia tuma, ma nigga, I got you

Na juu sitaki ma-story za mbang'a, vida ipigwe mchana sababu ya curfew

Juu lazima nipate briefing ya Mutahi, nijue cases ngapi so far hapa Nai

Najua nikiukata utajifanya sorry, lakini ndani ndani watakuwa wanafurahi

Itabidi niharakishe ndio nisepe Hii si para, mister, usiniletee

Hata mkilalamika mi natambulika, siezi choma picha, ama vipi

Na nyi kwangu vinyangarika, nawachapa vita, na mkikasirika niwateke

Niwanyang'anye sling na Timber, na ju nyi ni wajinga, ni vibare mpaka mi nitosheke

Na mi nawatafuna kama PK PK, PK, PK, jaba na njoti

Na hii ngoma lazima iwashike Shike, shike Shike, mababi, mangoki

Collabo noma, Omollo na TK TK, TK, TK, mafala hawatoshi

Na kaa ni bars, basi muitishe Tishe

Ndio tuwazungushe na ile pace ya Valentino Rossi

Tukifika basi ni nuru, tuko kwa telly kwa mbulu

Kutoka Nyeri to Buru, mpaka Nyeri to Mukuru

Tukimalizana na Nai, tunafika Nakuru

Na juu hii si kazi ya bure, buda, toa ushuru

Ma-shawty wanalia, uuh,that's a badman

Gonga taka tuku-scoop up na dustpan

Red carpet, tuna-pull up na Mustang

Look ya gikomba tumepulizia Verseman

Competition imerushwa kwa trash can

Nyi ma stude mmekuja for half term

Hivyo ndio venye namalizia verse

OG, motherfucker, nime-pull up na Tough Klan

Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya

Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya

Ay, msupa atoti, ndai ni German, ni ya Ulaya

Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya

Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya

Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya

Woi, kairetu msafi, mbota, durag, shingo mawaya

Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya

Breeder LW/Khaligraph Jones থেকে আরও

সব দেখুনlogo