menu-iconlogo
huatong
huatong
লিরিক্স
রেকর্ডিং
Yeh Yeh Yeh

Yeh Yeh Yeh

Yeh Yeh Yeh

Bazengaa

Tuki

Step in ni commotion hatu settle

Ma peng ting kuwazungusha kama peddle

Nikiwa kwa form jua ni genje ni genje

Nikiwa kwa form jua ni genje ni genje

Step in ni commotion hatu settle

Ma peng ting kuwazungusha kama

Nikiwa kwa fom jua ni genje ni genje

Nikiwa kwa fom jua ni genje ni genje

Bazu Bazu wabebe juu kwa juu

Bazu Bazu wabebe juu kwa juu

Aki ya nani sija chase hii vodo walai

Aki ya nani leo sitoki solo walai

Ma gala wananisuka na wanaweza

We una pupa na umefika na impreza

Ma fuck boy wamedie nywele kama dexter

Na mashashola ndani ya satchet ya ketepa

Ehh!

Big drip hii ni nile apana tana

Kuna msupa ameibwa weave kwa hii turn up

Mzuka full genjeness in abundance

Sishiki tenje ka hatubongi biashara

Tuki

Step in ni commotion, hatu settle

Ma peng ting kuwazungusha kama peddle

Nikiwa kwa form jua ni genje ni genje

Nikiwa kwa form jua ni genje ni genje

Step in ni commotion, hatu settle

Ma peng ting kuwazungusha kama peddle

Nikiwa kwa form jua ni genje ni genje

Nikiwa kwa form jua ni genje ni genje

Hii ni vibe ya ki bazu na fom iko true

Na sipendi hawa ma zuzu hubleki kwa loo

Leta kichwa kachumbari na ki supu

Ati hujali mbele ya watu unani busu

Ma taxin ndio zimefura kwa mdomo

Niko sete na kwa pori ni ma jomo

Nachocha benzo niwashie ki jamo

Ngoma kali itawashika mpaka lagos

TK mandugu zangu wako area

Ka umejipin usilipue ki ndeng'a

Kuna makwella nataka nitoke nao later

Wakiniboh niwa curve kama Beckham

Tuki

Step in ni commotion hatu settle

Ma peng ting kuwazungusha kama peddle

Nikiwa kwa fom jua genje ni genje

Nikiwa kwa form jua ni genje ni genje

Step in ni commotion hatu settle

Ma peng ting kuwazungusha kama peddle

Nikiwa kwa fom jua ni genje ni genje

Nikiwa kwa fom jua ni genje ni genje

Breeder LW থেকে আরও

সব দেখুনlogo