menu-iconlogo
huatong
huatong
লিরিক্স
রেকর্ডিং
Ndani yangu ni raha na sorrow

Nikiwaziya baba

Myaka ishirini na saba ya sorrow

Kwa bahati

Mutu wa haki hana boga ju ana kweli

Mbele ya silaha ukashimamiya uhuru

Nelson mandela

Mzee madiba baba yetu

Nelson mandela

Mzee madiba baba yetu

Damu ya wana wa South Africa

Hayikumwangika bure

Ata kama makumbuko yako ana sorrow

Pole pole baba watu wanajifunza

Ku kaa pamoja

Nelson mandela

Mzee madiba baba yetu

Nelson nelson mandela

Mzee madiba baba yetu

Nelson mandela

Mzee madiba baba yetu

Nelson mandela

Mzee madiba baba yetu

Nelson mandela

Mzee madiba baba yetu

Nelson nelson mandela

Mzee madiba baba yetu

Khadja Nin থেকে আরও

সব দেখুনlogo