Ayeee
Rhumba imechamba
Sauti Sol ina di area kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Bensoul alipofika alifunika eeeh
Wakaja na madrama
Cinema zetu ni telenovela eeeh
Wakasunda mizinga
Hawakujua si tuko mavela iieeh
Wakaita polisi
Kumbe polisi pia ni shabiki eeeh
Wakaficha msosi
Wakatupata na dishi mezani
Ayeee
Rhumba imechamba
Sauti Sol ina di area kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Nviiri alipofika alifunika eeeh
Walifunga milango
Wakatupata tuko ndani nao
Wakaita makanjo
Kumbe ni sisi huwalipa salowowowo
Wakazima mitambo
Shabiki wakabaki kwenye dance floor
Na iwe funzo kwao
Tunaongoza wanafuata nyayo
Ayeee
Rhumba imechamba
Sauti Sol ina di area kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Crystal alipofika alifunika eeeh
Wakaja na umati
Wakageuka kuwa wafuasi
Wakaja na majini
Wakapata tushazama kwa dini
Nywele za kifarasi
Lakini si ni moto ya malkiasi
Risasi mwendo kasi
Dandia msiachwe na baaa
Ayeee
Rhumba imechamba
Sauti Sol ina di area kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Kaskazini alipofika alifunika eeeh
Wakaenda kusini
Wakajipata wako kaskazinieeh
Wakaja na magigi
Lakini si tukaja na muzikieeh
Wowowo yeyeye
Hata wazime taa tutazidi kuparty
Wowowo yeyeye
Hizi vitu hazitakangi utiaji
Na wakiapisha tunaapisha
Na wakifunika tunafunua
Eeh wakianika tunaanua
Na wakisafisha tunachafua
Ayeee
Rhumba imechamba
Sauti Sol ina di area kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Karibuni kwenye extravaganza
Ayeee
Rhumba imechamba
Sauti Sol ina di area kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Karibuni kwenye extravaganza
I am looking for trouble trouble trouble
Hapana rusha mawe kwa police station
Kabla wacheki vela cheki situation
Hapana shusha bendera kwa chifu
I am looking for trouble trouble trouble
Bibi ya wenyewe is a no go zone
Kama ukute vitu piga protection
Nairobi mwizi utageuzwa jivu
I am looking for trouble trouble trouble
Hapana rusha mawe kwa police station
Kabla wacheki vela cheki situation
Hapana shusha bendera kwa chifu
I am looking for trouble trouble trouble
Bibi ya wenyewe isno go zone
Kama ukute vitu piga protection
Nairobi mwizi utageuzwa jivu