menu-iconlogo
huatong
huatong
লিরিক্স
রেকর্ডিং
Mi ndio waiter unataka kitu gani

Weka order naleta tu mezani

Utakula hapa ama utakula nyumbani

Utadishi solo ama utaita jirani

Weka weka weka weka order

Mi naleta leta leta

Weka weka weka weka order

Mi naleta leta leta

Niko na flat tummy we sema niko njaaprrr

Na ninabonga kilami na nimetoka dar

Mi ni antisocial nasema yaani staki salam

Na kama uko na beef nakuja na royco madam

Washa kindukulu tuchome tumedi kiplani

Mi ni kuku we ni jogoo wa mashinani

Mi chuchumaa ni kama nataga mayai

Washa mshumaa giza imezidi uku ndani

Mi ni msupuu siogopi dudu

Siezi peana respect kwa manugu

Siezi try kukuimpress we sio mungu

Siezi try kuku- undress ka we sio wangu

Nimekam ku- address ndugu zangu

Mnaniskiza ju mnapenda style zangu

Niko unique si mnafanya maajabu

Niaje mafans si mnapenda ngoma zangu

Niaje mafans si mnapenda ngoma zangu

Niaje mafans si mnapenda ngoma zangu

Mi ndio waiter unataka kitu gani

Weka order naleta tu mezani

Utakula hapa ama utakula nyumbani

Utadishi solo ama utaita jirani

Weka weka weka weka order

Mi naleta leta leta

Weka weka weka weka order

Mi naleta leta leta

Ssaru wa manyaru amekuja kama hitler

Nimeleta war cheki venye nawatisha

Nimekam na kindom kiko kwenye t- shirt

Na nabonga ni kama mi niko na speaker

Mi ni drinker nawakunywa since day one kitanker

Nitawafanyia tu venye mi nataka

Ju najua nyinyi wote ni mastalker

Nitawa- ditch tu kama taka taka

Mkinihata mtanifuata

Mnipanue kama miguu za bata

Mnitoboe manze mniwache na punture

Na mnajua huku akuna kiraka

Kuna kishada nimekiwasha

Kimenishika mpaka shadow inanihepa

Kimbichwa kinafanya mi nacheka cheka

Mi ndio waiter unataka kitu gani

Weka order naleta tu mezani

Utakula hapa ama utakula nyumbani

Utadishi solo ama utaita jirani

Weka weka weka weka order

Mi naleta leta leta

Weka weka weka weka order

Mi naleta leta leta

Mi ndio waiter unataka kitu gani

Weka order naleta tu mezani

Utakula hapa ama utakula nyumbani

Utadishi solo ama utaita jirani

Weka weka weka weka order

Mi naleta leta leta

Weka weka weka weka order

Mi naleta leta leta

Pika pakua peleka mezani

Pika pakua peleka mezani

Pika pakua peleka mezani

Pika pakua peleka mezani

Pika pakua peleka mezani

Pika pakua peleka mezani

Ssaru থেকে আরও

সব দেখুনlogo