menu-iconlogo
huatong
huatong
mbogi-genje-zamali-cover-image

Zamali

Mbogi Genjehuatong
remote_masterhuatong
Liedtext
Aufnahmen
Hii ni hatari!

Tumekuja kuwazamali!

Mbogi ni genje.

(Smadi Tings)

Hatari tumejaza armoury

Pesa loka tunakuja kukuzamali

Pesa loka tunakuja kukuzamali

Pesa loka tunakuja kuku- yo!

Hatari tumejaza armoury

Pesa loka tunakuja kukuzamali

Pesa loka tunakuja kukuzamali

Pesa loka tunakuja kuku- yo!

Mbwakala, ndasha mawaganiz

Mbwegze laiz kwatojer siwagwai zi

Sidikwar aikwar kuwakang'a li

Man a milli na kaline kuwazamali

Magani mbaga kuwaingisa

Dansushang' nimewolity ime cannabis

Siezinego nikingasha nimekwaria

Mang'isha rao hio humaanishi

Nikimochong' na selar siwabanjishi

Kila warcho mnainzagi zinamwok alize

Ngwazre wazishokde hawakanafi

Hadi njegla mkidungis hawabambui

Hii ngeso man a milli haibahatishi

Reg lick walitry waliriengalize

MG fully dibla kuwarongesa

Kama real viet cong kuwabugdisha!

Hatari tumejaza armoury

Pesa loka tunakuja kukuzamali

Pesa loka tunakuja kukuzamali

Pesa loka tunakuja kuku- yo!

Hatari tumejaza armoury

Pesa loka tunakuja kukuzamali

Pesa loka tunakuja kukuzamali

Pesa loka tunakuja kuku- yo!

Wanaspy kuliko KGB

Style sick unathani nkona STD

Red me unaita hadi Xtigi

YG ukizizi makashi na madidi

Body left hapa hadi utaleft

Zimeflow kama missile zimetumwa kwa F

Zabe niko na aref

Na kinia imewes

Kaba riang under waba tunaezacheza ki-riech

Piga dua, kabla nikumatu

Body guard hadi siezilia tu

Fame yako maisa uliingia tu

Zimengwata ni vitu nimemiatu

Furda, labda niunguse

Ni kukaa na tobaroda namguse

Chajimi sekoroda nasha na tise

Rankin udem hadi unge

Rokodile chajibadanyang'

Ka ni shang' inadieng'a nanyambisa kitu pyam

Nawapyam digi kila meno inasyang'

Akuna fala anaezafanya nisiziang'

Hatari tumejaza armoury

Pesa loka tunakuja kukuzamali

Pesa loka tunakuja kukuzamali

Pesa loka tunakuja kuku- yo!

Hatari tumejaza armoury

Pesa loka tunakuja kukuzamali

Pesa loka tunakuja kukuzamali

Pesa loka tunakuja ku- yo!

Hatari nimejidesha armoury

Vulala tu nakudunga ukijiinzagi

Hii ndio geng ya kurombosizi inadi

Futi6 MG tunakuzamali

Real time usijaribu kudiss we

Kuwazamali tukiinzagi missing

Magazine imenasho na miriztalize

YG kilakiding inayaztake

Niko na taki na sireutaki we

Jiinzagi mi ntakuinzagi

Maukapi ni za mbutu nakuchanjalize

Maukapi ni za mbutu naku----

Hatari tumejaza armoury

Pesa loka tunakuja kukuzamali

Pesa loka tunakuja kukuzamali

Pesa loka tunakuja kuku- yo!

Hatari tumejaza armoury

Pesa loka tunakuja kukuzamali

Pesa loka tunakuja kukuzamali

Pesa loka tunakuja ku- yo!

Tunakuja kukuzamali

Tunakuja kukuzamali

Tunakuja kuku

Tumejaza armoury

Tunakuja kukuzamali

Tunakuja kuku

Tumejaza armoury!

Mehr von Mbogi Genje

Alle sehenlogo