menu-iconlogo
huatong
huatong
wakadinali-battery-low-cover-image

Battery Low

Wakadinalihuatong
shalyn06huatong
Liedtext
Aufnahmen
Macho ziko battery low, macho ziko battery low

Big beats beats beast Afriq

Niko battery low 30% na bado niko mabale

Battery low 30% na bado niko mabale

Ziko battery low 30% na bado niko mabale

Nastagger mbaka kifa, Wakadinali toka binare

Macho ziko battery low 30% na bado niko mabale

Macho ziko battery low 30% na bado niko mabale

Battery low 30% na bado niko mabale

Nastagger mbaka kufa (nastagger), niko mabale

Lately joh, wanabonga nikiget hi doh aah

Macho ni battery low, tei ikikatika naget reload

Ninachonga nikichoma majani, holy water ya kutoka dasani

Na kwani, skwambi mimi nimekuanga makonyagi na machwadi

Aah, baby kuja hapa nkufanyie hypnos

Shake haga mbaka utapeleka hi pose

Kale ngale vela nare huwanga hikoss

Mtoto geti kali antaka nitoke Nai Coast

Mi nakam na bang nawacha wamefika ju

Come na bag na mi niko na kikaboo

Huyo mbong' haezi utadhani pikachu

Flow so nice nakuacha na hiccup

Zimefika mahali zimenishika design niko

Mangwai walai na mimi sitaresign

Kama Wangari Maathai mi niko born kutetea miti

Nitareform kushinda John Kiriamiti

Battery low 30% na bado niko mabale

Battery low 30% na bado niko mabale

Ziko battery low 30% na bado niko mabale

Nastagger mbaka kufa, Wakadinali toka binare

Macho ziko battery low 30% na bado niko mabale

Macho ziko battery low 30% na bado niko mabale

Battery low 30% na bado niko mabale

Nastagger mbaka kufa (nastagger), niko mabale

Battery low, ndio symbol ya kuonyesha siezangi chase ati bank

Na chini ya kitanda, siezanga onyesha symbol that

I'm making doh buh making progress

Prezo wakumpreachia injili ati ng'ada nadrwa

Hasakwa injini akiganda, hio ndio day tutaita genius ni danda, genius ni danda

Sioni haja nihate, ka uko tukitu tukuza taksin

Manze kutusora kitu yenya kampa daddy

Atakuset chips fungwa atakupunguza za meal

Picha mfiche mshawry wako nani, na hizo vitu fake mpunguze I mean

Coz buda ukisaka chuja azn, chunguza leather fity bora si njumu za legzin

Aah eei so why twist a coin, ka una njaro ya kudeksare spliff a joint

Case chunga la sivyo utajiingiza boy

Karma is a bitch wafaa you get your coin

Ka ulidress kutuimpress umeji disappoint

Haswa zile location gucci versace hatuzi support

(It's your boy) ikipiga beat ka utfullbeng, ka ni fimbo then counter tu beng

Domani sina vako za wudeng

Ndio manaa kwa shingo nadunga few chains

Ma-ma-macho ziko battery low 30% na bado niko mabale

Battery low 30% na bado niko mabale

Ziko battery low 30% na bado niko mabale

Nastagger mbaka kufa, Wakadinali toka binare

Macho ziko battery low 30% na bado niko mabale

Macho ziko battery low 30% na bado niko mabale

Battery low 30% na bado niko mabale

Nastagger mbaka kufa (nastagger mbaka kufa)

Macho ziko battery low 30% na bado niko mabale

Battery low 30% na bado niko mabale

Ziko battery low 30% na bado niko mabale

Nastagger mbaka kufa, Wakadinali toka binare

Macho ziko battery low 30% na bado niko mabale

Macho ziko battery low 30% na bado niko mabale

Battery low 30% na bado niko mabale

Nastagger mbaka kufa (nastagger), niko mabale

Mehr von Wakadinali

Alle sehenlogo