Eeehh...
Iiiihh.
Ulizaliwa ghetto ulizaliwa mtaa
Napenda kwenda muvi
Wewe unapenda kwenda bar
Kwani vipi mama
Mambo yetu yanagongana
Ulinyama na kushangaa sana
Maisha yangu si ya mboga mama
Wenzako wanicheka
Na wenzangu hawakupendi sana
Leo tunazozana alafu kesho twasimangana
Kwani lini tutasemezana
Tuishi wote kwa raha
Baby ni heri tuachane
Baby ni heri tuachane
Ndani ya moyo wangu bado
Nakupenda sana
Baby ni heri tuachane
Baby ni heri tuachane
Siri zangu hazipati kuwa na mwanga wa asubuhi
Kwa wadosi wenzako wajifanya hunijui
Pasipo nia hapana njia
Zangu hisia zawachilia
Na leo tunazozana alafu kesho
Twasimangana
Kwani lini tutasemezana
Tuishi wote vyema kwa raha