menu-iconlogo
huatong
huatong
Lyrics
Recordings
Aaah mapombe masigara unaeza dhani mi ni nviiri

Mjus jus hapa ujue mi kafiri

Kuskus naeza ingia ndani na kamwili

We ni mhot naeza kuchippo na chilli

Unarangi ya thao lakini sura ya ngiri

We ni mlight utawasha adi tire

Kuna poko wa area anasomea kiriri

Nikulime nipande mbegu rudia mara ya pili

Kasoro robo niharibu tobo

Nifunge chobo zimeshika bozo

Jifanye kigogo upotee kirogo

Ah haha ahh cheki

Fatuma ule mroro alitoka msikitini

Kifini alikua shada na manjiti

Alikulwa dry ju hakuwa amejipini

Kini hapo wao hukulwa tu maini

Kudaradara na kudaruka

Ni mdaradara nana (haishoo)

Ni kudaradara na kudaruka

Ni mdaradara nana (haishoo)

Dara darano, dara darano

Dara darano ndani ya daro

Dara darano, dara darano

Dara darano hadi unyoro

Ishi keja bila furniture anataka nikameze

Amebeba nyama na anadai nimsosi

Ako na paka anadai ni doggy

Nichimbe nipande mbegu adi ajikune

Juu ya kishada ndo hii track usiban ahh

Usikazie hewa ndio fan

Vi-vijana piga kuni ate choche

Mnasema toa kutu mpe proteins

Dem hayuko box na ashafinywa

Alidai kichwa tu akalimwa

Ukimarinate usizime

Marash ni ya njoti kejani si ya fudhe

Kudaradara na kudaruka

Ni mdaradara nana (haishoo)

Ni kudaradara na kudaruka

Ni mdaradara nana(haishoo)

Dara darano, dara darano

Dara darano ndani ya daro

Dara darano, dara darano

Dara darano hadi unyoro

Zangu zimeshika ka sabuni

Osha mangeus ndio uchangie uchumi

Nyama choma yangu nimeweka chumvi

Chai ninamwaga haihitaji hadi kichungi

Round ya kwanza kashaanza kuwika

Round ya pili kajaba kametushika

Round ya tatu ka ni mtaro ni kuchimba

Round ya nne umekula bila kinga

Simama imara tu kama simba

Waru na mara cheki joh utashiba

Neke wena wara na ng'ang'o ni mzinga

Kama hufiki bei hasara ni ya wale maninja

Kudaradara na kudaruka

Ni mdaradara nana (haishoo)

Ni kudaradara na kudaruka

Ni mdaradara nana(haishoo)

Dara darano, dara darano

Dara darano ndani ya daro

Dara darano, dara darano

Daro darano hadi unyoro

More From Boondocks Gang/iPhoolish

See alllogo