menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

Kanuthu

Boondocks Gang/Joefeshuatong
sandigerrardhuatong
Lyrics
Recordings
Si ako fiti kutu na ako njiti

Kukumanga choki ni kimiti

High voltage hapa ni kurisky

Nina arimis hapa staki kiki

Hakuna stori ya food hapa natakaa (kanuthu)

Hakuna ugirimba nina quarter (kenuthu)

Nakudai sai nina shada (kanuthu)

Kanuthu, kanuthu,kanu, kanuthu

Kwa nduthi buda mi hurankada

Paka ni bushy musa tukiban shada

Jogoo ya town inawika mosadha

So nikule caro, nidishii Caro

Kuna time nilibetty hadi kyallo

Chali yake challo anakulwa salo

Mi hukemba hadi don ka carlos

Anadai dudu hii rungu ni kombo

Muskari mi mi hudish kombi

Gonga kigongi

Ako jam anakam na sisongi

The only motion anafeel ni kigongi

Na sibongi unless niswitch kondi

Hadi Vicky anafeel ako pon this

Ye hublow job mi nikiblow kiss

Na sipay fees siishi kwa office

Si ako fity kutu na ako njiti

Kukumanga choki ni kimiti

High voltage hapa ni kurisky

Nina arimis hapa staki kiki

Hakuna stori ya food hapa nataka(kanuthu)

Hakuna ugirimba nina quarter (kanuthu)

Nakudai sai nina shada (kanuthu)

Kanuthu, kanuthu, kanu, kanuthu

Jaba yangu nifungie tu na karatathi

Nishikishe nishukishe na zile mandathi

Patico ya kobole na kawada seti ndani

Vile nakachimba kana shangaa rada gani

Ikus kama tatu nazikula ki kaimati

Na ka inatupa naichuja tu ka mabati

Za ketepa ya kumundo pale tu kafati

Na ka ni kesi ya pedi leo najifanya jaji

Maji ya uzima unaeza iita njoti

Za ukulima ndo zinalisha mapedi

Watiaji tuwakule tu mahedi

Mama pima leta ng'ang'o ndo tumedi

Rizla na kishamba kimeshika

Kipizza na unajaba unashikisha

Itisha kimoratish mama pima

Utabakisha nikuchimbe tu saa sita

Tuta piga dimba na kisoccer

Nitakitinga tinga nitakitoka

Ka ni fielder haga nitakigonga

Shoti moja kainame nikichora

Njoti zote kazilambe kusorora

Kuna iphone charger yangu Motorola

Anajiita wambo mtaa ni mkora

Nakurora nakulola

Si ako fity kutu na ako njiti

Kukumanga choki ni kimiti

High voltage hapa nikurisky

Nina arimis hapa staki kiki

Hakuna stori ya full hapa unataka (kanuthu)

Hakuna ugirimba nina quarter (kanuthu)

Nakudai sai nina shada (kanuthu)

Kanuthu,kanuthu, kana, kanu, kanu,kanuthu

Nina ngoto mi nitacheza chobo ua

Ua nikunyoroshe ustake jua jua

Juu ya kirungu si utazua, zua

Miaka kwanza si ni kichura

Kunywa zote itisha pension

Ukiskia kuna tension

Unatekwa ukimention

Nina pienga kuja session

Tufinyane nikudare nikusese

Tukimane nikugeuze ukiwa ndethe

Nikulambe peremende ya maseke

Nikunyanyishe mashada juu una teke

More From Boondocks Gang/Joefes

See alllogo