menu-iconlogo
logo

Ndembe Ndembe

logo
Lyrics
Abbah

Mmhh

Badii(Jaivah)

Aloooo(shii)

Kama we mzuriiiiii

Tutumie pichaaa

Ukiwa unakata gogooo

Tuone Uzuri wakoooo

Eh kama we mzuriiiii

Tuma videooo

Ukiwa unakata gogoooo

Tuone uzuri wakooo

Punguza pekete pekete te pekete

Mwenye hela hasemi we pesa inaongea

Acha pekete pekete te pekete pekete

Aah mwenye hela habwabwaji pesa inaongea(alooooh mmh)

Tukitaka letu tunaweza tumejipata mweupe muluge mweupe(tumejipataa)

Tukitaka letu tunaweza tumejipata

Oyah Jaivah sema nao tunataka nini

Sisi tunataka ndembe ndembe ndembe ndembe

Uno ndembe ndembe ndembe ndembe

Uno ndembe ndembe ndembe ndembe

Uno ndembe ndembe ndembe ndembe

Sisi tunataka ndembe ndembe ndembe ndembe

Uno ndembe ndembe ndembe ndembe

Uno ndembe ndembe ndembe ndembe

Uno ndembe ndembe ndembe ndembe

Mamaa ayee ayee ayee ayee ayee ayee ayee ayee

Mamaaa ayee ayee ayee ayee ayee ayee ayee ayee

Mazee kama nyama imekwiva peana

Kama inakubanabana peana

Asa kitu ifichiki hata ikiwa kwenye dera tunaiona iyoo

Kama nyama imenona peana

Kama ikiwa kubwa sana peana

Sasa kitu haifichiki hata ikiwa kwenye pensi tunaiona hiyoo

Watoto wazuri wazuri wamebarikiwa

Kama hawaendi hawaendi hawaendi maliwato

Watoto wazuri wazuri wamebarikiwa

Kama hawaendi hawaendi hawaendi maliwato

Kuna wengine wana big nyash

Kuna wengine Wana flat screen

Kuna wengine Wana viuno vigumu

Kuna wengine Wana viuno vilaini

Kuna wengine wana big nyash

Kuna wengine Wana flat screen

Kuna wengine Wana viuno vigumu

Kuna wengine Wana viuno vilaini

Sisi tunataka ndembe ndembe ndembe ndembe

Uno ndembe ndembe ndembe ndembe

Uno ndembe ndembe ndembe ndembe

Uno ndembe ndembe ndembe ndembe

Sisi tunataka ndembe ndembe ndembe ndembe

Uno ndembe ndembe ndembe ndembe

Uno ndembe ndembe ndembe ndembe

Uno ndembe ndembe ndembe ndembe

Mamaa ayee ayee ayee ayee ayee ayee ayee ayee

Mamaaa ayee ayee ayee ayee ayee ayee ayee ayee

Ndembe Ndembe by Bytar Beast/Marioo/Jaivah - Lyrics & Covers