menu-iconlogo
huatong
huatong
Lyrics
Recordings
Nashuku me hukuanga lele

Juu ya design flani me hupenda madenge

Peng ting kejani kwangu kadere

Ako na chali? Atanipea bora nisiseme

Nashuku me hukuanga lele

Juu ya design flani me hupenda madenge

Peng ting kejani kwangu kadere

Ako na chali? Atanipea bora nisiseme

Vile napenda madem Joo Ni kesi

Vita daily Na maboyz yo si freshi

Juzi nlipita Na dem Wa her bestie

Akanitajia popo they tried to arrest me

Nachanganya luku ya mtumba Na ya mall

Mi Ni mbiggy mi si small

Wanangojanga nifall

Yani

But nikirise mindio usimamanga tall

Ka ako lonely yeunicall

Miudishi free ye umtuma more money

Leta mstiri

Ka si doh

Si force

Ndio Ni grow Ni process

More Ni most

Yes I'm a boss

Coz they Call me boss

Ligi Soo

Ofcourse

Ndio Ni arive Ni porche

Nashuku me hukuanga lele

Juu ya design flani me hupenda madenge

Peng ting kejani kwangu kadere

Ako na chali? Atanipea bora nisiseme

Nashuku me hukuanga lele

Juu ya design flani me hupenda madenge

Peng ting kejani kwangu kadere

Ako na chali? Atanipea bora nisiseme

Bora asiseme wife anpige vita

Starehe Ndani ya kazi kula pongi lipa

Ye atasema juu izi inches sio centimetres

Jogoo hii Kijiji hio ndo reason huwa mi nasifika

Swali

What are we?... Mimi spati picha

Kwa mtaa zako riba sio fresh barida

Ushawasho mechi mi ndo ticha!

Ushanipost Adi kule insta

Buyakaya nko Ndani center ka Yaya

We utani utanitangaza nagwaya

Manzi Nna wengi kama page za high flyer mami

Chunga chunga maboi wanaitwa brian

Nashuku me hukuanga lele

Juu ya design flani me hupenda madenge

Peng ting kejani kwangu kadere

Ako na chali? Atanipea bora nisiseme

Nashuku me hukuanga lele

Juu ya design flani me hupenda madenge

Peng ting kejani kwangu kadere

Ako na chali? Atanipea bora nisiseme

Ati bora nisiseme niko na ngeus kila place fornication

Kilimani parkland pin location

And the only thing wanataka ni attention

And my intention

Ni kumkula na kutoka siezi kaa nimechoka

Akianza ufala mingi oh men namtoka

I kula one time me siezi 2 time

Nina shida kubwa na yangu ni ulele

Sazingine ata nashangaa men

Vile nawapiga nasichoki

Sazinginine ata nashangaa men

Hadi in my head

Nashuku me hukuanga lele

Juu ya design flani me hupenda madenge

Peng ting kejani kwangu kadere

Ako na chali? Atanipea bora nisiseme

Nashuku me hukuanga lele

Juu ya design flani me hupenda madenge

Peng ting kejani kwangu kadere

Ako na chali? Atanipea bora nisiseme

More From iPhoolish/Katapilla/Unspoken Salaton

See alllogo