menu-iconlogo
huatong
huatong
Lyrics
Recordings
Your now listening to the sound of the quest

Yeah

Yeah, yeah

(Bad mass)

Aah

(Black market records)

Pakistan tuna vuta mabidha

Tume sota hapa area na taki ya guitar

Side chick ameanza kuniita cheater

Sponsor actually bana tuma mita

Confirm you have received

Wacha niende quarter, received

Sikulangi mbonga received

Na penda ma light skin (sawa confirm)

Your have received?

Wacha niende quarter received

Sikulangi mbonga received

Na penda ma dark skin (sawa)

Ring ring confirm ume receive

Fuliza kidogo kisha nitoa kwa fom

Uliza dere alini show anakuja home

Anadai fare kutoka Kasa sina doo

Hauna doo? Na unadai kuteka Shiro

Wakikuyu hao hupenda wababa wako na doo

Na after yako ni worse kushinda before

Iliamka aka kuboo ika lala fofo

Fofo Harry akona kitu four soo nakushow

Na mbogi yake yote inadai kuja show

Wanaume soo wote wanadai tiko

Oh oh oooh sina hio doo sichome hivyo

Aah na sipendi hizo fom

Mandume watatu wasichana wako?

Confirm simu zote leo ziko off

Ah tukunywe makonyiriro

Confirm you have received

Wacha niende quarter, received

Sikulangi mbonga received

Na penda ma light skin (sawa confirm)

Your have received?

Wacha niende quarter received

Sikulangi mbonga received

Na penda ma dark skin (sawa)

Yeah

Sijui nifike bei ya dema?

Na pombe ina eza liquor

Alisema "bora kuna liquor"

Si tuna ka-ka-katika

Huh manzi ni nganya

Doo na pesa na weza mpika

You have received kumbe pochi inaweza lipa

Pesa kidogo mmmh

Very nice (mmmh)

Tuma pounds I date foolish sipendi wise (mmmh)

Come slow hunishiki bila doo

Kama hubanji ganji sioni (yeah) vile nita minimize

Aah minimize ka pochi juu ya badaye

Haezi chill na mbogi haina ice

Kama mali ni bobi who am I?

Walinipata na dobi kwa ndae

Nikiwasha lyta chain ina mchoma kwa macho

Nikiwasha ndae anadai twende Vasho

Kiuliza gede anasema ilikua vako

Ka ten over ten na kalipata E ma

Confirm you have received

Wacha niende quarter, received

Sikulangi mbonga received

Na penda ma light skin (sawa confirm)

Your have received?

Wacha niende quarter received

Sikulangi mbonga received

Na penda ma dark skin (sawa)

Pakistan tuna vuta mabidha

Tume sota hapa area na taki ya guitar

Side chick ameanza kuniita cheater

Sponsor actually bana tuma mita

(Confirm)

More From Joefes/Fathermoh/Unspoken Salaton/Odi Wa Muranga

See alllogo

You May Like