menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

Aroma Ya Pesa

Joefes/VinChuatong
ascerbic7huatong
Lyrics
Recordings
Aroma ya pesa by joefes

Yeah niko na baze iko na vitu rojorojo

Roho juu mapochopocho kando kuna lojo

Unaeza banju ukivunjika kidogo ikidonjo

Ukipewa kionjo kautam flani hukuja ukipigwa

Ngoto ni moto morio nika kushinda lotto

Leo niko maziwa bro kushinda latto

Shule tulikua dwanzi tukazima moto

Nilichoma snap tukichat juu ya photo

Virgin kupata wet dream io ni ndoto

Nilimea dready labda nifiche kisogo

Akili ni nywele wig ni kasoro

Weed nitapass kaa ulikuja na koro

Nakuru morio alishikwa na kuro

Dwanzi alikua ameseti doba dummy duro

Men ni maumbwa mi ni pappichullo

Hii ni Fire ni moto inachoma

Daily ntaifanya stokoma harufu ya kipesa

Io aroma ndio inanifanya mi stochoka

Fire moto inachoma

Daily naifanya stokoma harufu ya kipesa

Io aroma ndio inanifanya mi stochoka

Unabaze ya smokie tomatos kachumbari

Pilipili utabaki tu macho tuma doo ukidai

Kunituma joh ukibit ikiwa moto utabaki tu

Machos tuma mitos nimeshika hadi toes

My ex alinipa kwashiakor kila time ya event

Anadai nimepee tiko mi hushindwa kwani hii

Ndo fom ya kusaka jiko

Niko beast mode kula disko

Mi ni mi ni mkristo on a mission

Nashawty ako na sianda kula dusko

Ahh nikiwa siko mimi siko sometime

Miondoko nakasina hamu nakula ndogo

Yeah nikiwa fom mi huchapa pro mode

Vitu mi hudoo huezi fanya ukiwa normal

Hii ni Fire ni moto inachoma

Daily ntaifanya stokoma harufu ya kipesa

Io aroma ndio inanifanya mi stochoka

Fire moto inachoma

Daily naifanya stokoma harufu ya kipesa

Io aroma ndio inanifanya mi stochoka

More From Joefes/VinC

See alllogo