menu-iconlogo
huatong
huatong
Lyrics
Recordings
Aya,aya,aya

Mi nataka niishi na wewe milele

Mi nataka ni densi na wewe milele

Uwe wangu beibe niwe wako mimi

Milele milele (king kaka) milele milele

Sitaki ulie incase ulie nakubembeleza

Wewe wangu hivo ndiyo Mungu

Alinitengeneza Big up to my mum alinifunza mi kupenda

Big up pia chuki lakini siitumi kama vile BODMAS

Sijai tumia tena na Mafisi wanataka kuninyanganya

Hawatambui Bibilia Watakudanganya

Sikua Na dollars cash au naira

Akanishow no man Is an island ningekua dini angekua muumini

Nimeona hii mapenzi niilete mbele ya umati tuexchange vows

Soma verse ya katikati

Mi nataka niishi na wewe milele

Mi nataka ni densi na wewe milele

Uwe wangu beibe,niwe wako mimi

Milele milele milele milele

Sitaki ulie incase ulie nakubembeleza

Wewe wangu hivo ndio Mungu alinitengeneza duty ni yangu mami nikulinde

Na ukona smile ya dunia ingine

Mapishi ya sternley

Fashion ya Italy

Mapenzi ya tanga

Sura ya Kigali

Hawatoshi waambie diamond na zari am so lucky aki! Nani alikutuma?

Kuongezea ukona sense of humour

Anajua ukweli ata ghafla wakiweka rumor

Nimeona hii mapenzi niilete mbele ya umati tuexchange vows

Soma verse ya katikati

Waambie wazazi mi naja malkia mi nshampata

Eeeeh! iiiiihh!

Mi nataka niishi na wewe milele mi nataka ni densi na wewe milele

Uwe wangu beibe niwe wako mimi

Milele...

TOKODI

More From King Kaka/Pascal Tokodi

See alllogo