menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

Bebi Bebi

Nyashinskihuatong
Ezymorehuatong
Lyrics
Recordings
Only you babe

Only you babe

You're my only one

My only one

Some say a fool never change

His mind well maybe

Baby am a fool for you

Mapenzi kipofu ukipenda maovu

Huoni ooh love is blind

Never seemed so true

When I'm broke natumianga bro

Please call me akipiga naomba dooh

Mbona kuna message inajitumanga send me money

Tukate long story short yoyoo

Vumilia na mimi

Please don't leave me

Don't let the money fool you

Sponsors just wanna use you

Namwambia mtoto wa mama hasiharibikeee

Ananishow ni biasharaa tuu

Na siwezi mshibishaa na pangangaa tuuu

Na mwezi ukiisha sina ujanja too

Na renti ikibishwa huanga blunder wowoo...

Bebi, bebi

Kuwa nami wakati sina

Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm...

Na nikibarikiwa

Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na weh

Bebi

Kuwa nami wakati sina

Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm...

Na nikibarikiwa

Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na weh

Only you babe

Only you babe

You're my only one

My only one

Girl I wanna, girl I wanna

Girl I wanna take you to my mama

Show her you're the one for me

I'll never ever, never ever leave you believe

Me when I say you will forever be my queen

Yule nala naye kwa dhiki

Ntala naye kwa faraja

Ahadi yangu ndo hiyo

Kama pamoja tumelia, tutacheka pamojaa

Wou vumilia na mimi

Please don't leave me

Don't let the money fool you

Sponsors just wanna use you

Mtoto wa mama usiharibike eeii yeah

Bebi, bebi

Kuwa nami wakati sina

Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm...

Na nikibarikiwa

Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na weh

Bebi

Kuwa nami wakati sina

Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm...

Na nikibarikiwa

Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na wewewewe...

Only you babe

Only you babe

My only one

Okay sa naicheza kabubu

Baby no more talk just do

We mtamu kama buyu

Zaidi ya kwa chini upo juu

Forever be my only one

Tukiachana itaniuma na

Najua kuna n***a anangoja nichome

Aruke ndani ka supersub

Usiache ihappen

Ishikilie ka siri

Nikimake it in life then

Nikushikilie pia mimi

You make me, ooh babe don't let me go

Stay beside me

You make me complete, how will ma heart beat

Without you?

Bebi, bebi

Kuwa nami wakati sina

Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm...

Na nikibarikiwa

Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na weh

Bebi

Kuwa nami wakati sina

Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm...

Na nikibarikiwa

Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na wewewewe...

BY EZYMORE

More From Nyashinski

See alllogo
Bebi Bebi by Nyashinski - Lyrics & Covers