Machozi yangu yote namalizika
Mie nitalala na nani
We unaenda
Mie mpaka ni mawazoo ooh ooh
Mie mpaka ni kuwazawaza
We unaenda
Unaenda
Ile njia yako enda
Ni maisha yako fuata
Wee dada
Rail on
Rail on, rail on, rail on
Think thats the way
Leo paka ni mawazo ooh
Hapo unaniacha ohh
We unaenda
We unaenda
We unaendaaaaa
Rail on, Rail on, Rail on
Think thats the way
Rail on
Think thats the way