menu-iconlogo
logo

Hawajui

logo
Lyrics
Hamjui tu nyie, alichonifunza Mama na na ndiyo maana hamuishi kutukana x2

Kila kitu majaliwa kupata nimebarikiwaga Nini tilalila usiku mchana unabwabwaja Kwako mi mpira unanicheza unavyotaka Kila siku beki leo kipa nimekudaka

We mwanadamu gani uliyekosa aibu Huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu Huishi Zogoa Zogoa Kila Siku Zogoa Zogoa Ukilala Zogoa Zogoa

Hamjui tu nyie, alichonifunza Mama na na ndiyo maana hamuishi kutukana x2

Choko choko ndiyo mambo mliozoea Kuweka vigenge na makundi mkiniongelea ah ah Eti naringa, nikishinda mnavimba, hamuishi kuniwinda Mungu ndiyo ananilinda

We mwanadamu gani uliyekosa aibu kunisema kwa ubaya na ukiapa kwa Mungu

Huishi Zogoa Zogoa Kila Siku Zogoa Zogoa Ukilala Zogoa Zogoa

Hamjui tu nyie, alichonifunza Mama na na ndiyo maana hamuishi kutukana x2

We mwanadamu gani uliyekosa aibu Huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu Huishi Zogoa Zogoa Kila Siku Zogoa Zogoa Ukilala Zogoa Zogoa

Written: Barnaba, Vanessa Mdee, Noel Mkono Produced: Nahreel