VIVITHEALBUM
presents
Vivian X Kidum Lyrics
Intro
VIVIAN NA KIDUM KIBIDO
Niliposema yes I do do do I meanti yes I do
Na uliposema yes you do I thought you meanti yes you do
Verse 1 Vivian
Karibu nyumbani karibu kiti mpenzi wangu tulia
nimekua nikikusubiri nina jambo la kukwambia
tumeishi miaka mingi tumepatana na mengi
tulipopata maadui tuliwashinda pamoja
lakini jambo moja linanikera bebi aaah
Nimekua nikikuona na kasichana fulani aaah
I know how you met and where you meet it's funny how you think I don't know
Najua anakoishi mabeshte wake it's funny how you think I don't know
Chorus
Niliposema yes I dodo do I meant it yes I do
Na uliposema yes you do I thought you meant yes you do
Sasa cheki unavyo do do do do do
hizo ni gani una do do do do do
mi sipendi unavyo do do do do do
hizo ni gani una do do do do do
Sasa cheki unavyo do do do do do
hizo ni gani una do do do do do
mi sipendi unavyo do do do do do
hizo ni gani una do do do do do
Verse 2 Kidum
Mimi sijui niseme nini kwa hizi shutuma
kusalimiwa tu na kina dada ni jambo la kawaida
ni mwanadada yupi anayefanya bebi wangu kunishuku hivi
nani uyo tena anajaribu kutuletea ugomvi
wachana na izi kesi mapenzi yetu si mambo fakey
mimi hujaribu sana kuwa mkweli na muwazi kwako
mambo yote watu wanasema kunihusu ni uvumbi na uchochezi
hawajui tulitoka mbali mimi na wewe
wachaga kulia wala kusononeka
wale siwatazami natazama tu wewe bebi
Chorus
Niliposema yes I do do do I meant it yes I do
Na uliposema yes you do I thought you menti yes you do
Sasa cheki unavyo do do do do do
hizo ni gani una do do do do do
mi sipendi unavyo do do do do do
hizo ni gani una do do do do do
Verse 2 Vivian
Is it me or is it her sema ni nani unataka
is it me or is it her sema ni nani unataka
Kama ni lazima akue ni lazima ajue
kama ni lazima akue ni lazima ajue
Tuko na watoto nawe nawe
pia mali tumepata nawenawe
asinikosanishe nawenawe
ju mi siachani nawe
Ju kama mke wako nadeserve some respect and attention
kama mke wako nadeserve some respect and affection
Chorus
Niliposema yes I do do do I meant it yes I do
Na uliposema yes you do I thought you meant you do
Niliposema yes I do I meant it yes I do
Na uliposema yes you do I thought you meant you do
Sasa cheki unavyo do do do do do
hizo ni gani una do do do do do
mi sipendi unavyo do do do do do
hizo ni gani una do do do do do
Sasa cheki unavyo do do do do do
hizo ni gani una do do do do do
mi sipendi unavyo do do do do do
hizo ni gani una do do do do do