menu-iconlogo
huatong
huatong
Letras
Grabaciones
Nikiamka

Naasha ngwai, napiga ngasha

Nakunywa ngiayi, naasha ndai

Nadunda nai, zoza watoto after kirai

Ziko kwa drop zone hizo ma mali

Cheki kwa drop zone, aki walai

Aki walai, aki walai

Cheki kwa drop zone, aki walai

Nikiamka

Naasha ngwai, napiga ngasha

Nakunywa ngiayi, naasha ndai

Nadunda nai, zoza watoto after kirai

Ziko kwa drop zone hizo ma mali

Cheki kwa drop zone, aki walai

Aki walai, aki walai

Cheki kwa drop zone, aki walai

Wanasema dosh siku hizi ume change ushaienda na msupa tangu lini picnic

Cops waliskia me ni big deal

Nika have ku cryia Jah me ni pickney, yoo

Beast wakini pick me, jela ziko huko kwa stairs ndio ntalala nditni

Ntalala na ma felon wenye wanaugua acne

Me bado king ku finesse, njege wana njaro chafu is my character trait

Mlihepa na sikuja na mse nilipull na scrap in my pet,ayy we

Sikuangi na stress we baki mtaa udetect mahali d**k yangu ina stretch

Foreign ndio bei, shout out diani me siezi enda surfing dubai

Mambang'a washainileteanga za kijicho pevu tangu chuo

Kuna siku opp alini target na mtoo akanimiss hadi nguo

Ever since football

Tukiguzanga huko maisa na manucho

Nakumbukaa tukiendea zoot kwa gunia

Ungenotice ni unusual

Si hukata keg ata pesa turokote

Now yuko kwa gang, ndugu wa toka nitoke

Nilienda kwa plug akani charge, naskia ye ndio ako na tokkens

Unabonga tuna beef, usibonge matope

Unatakaje, si tuieke live in the open

Nikiamka

Naasha ngwai, napiga ngasha

Nakunywa ngiayi, naasha ndai

Nadunda nai, zoza watoto after kirai

Ziko kwa drop zone hizo ma mali

Cheki kwa drop zone, aki walai

Aki walai, aki walai

Cheki kwa drop zone, aki walai

Nikiamka

Naasha ngwai, napiga ngasha

Nakunywa ngiayi, naasha ndai

Nadunda nai, zoza watoto after kirai

Ziko kwa drop zone hizo ma mali

Cheki kwa drop zone, aki walai

Aki walai, aki walai

Cheki kwa drop zone, aki walai

Mashida zangu ni 99

Na 95 ni za ganji walai

Zingine nne ni vile ntarise

Mali unadai, cheza na price

Breeder ni gent ki james bond

Na para za ki ragga muffin kwa chuom

Cheza na rieng na ulay low aliongeza nyege ju ya moshi ya ndom

Drop zone imejaa wasitiri

So na supply kamili kamili

Mbogi iko ready unrully and willing

Tafadhali we usicheze na mimi

Mbota si rolly ni g-shock

Ju naamini mwafrika ndio Kristo

Jesus piece kwa hio shingo

Unaogopa kusota ama kifo

Jifunze commerce ndio uongeze commas

Breeder kwa verse, Dosh kwa chorus

Niliapa siezi kuwa beggar Nairobi

Si heri nipate pesa na hii hobby

Si ni TK, nishauliza mbogi do you copy?uh

Si ni given, niko mboka jioni kama watchie

Nikiwa mless nilikua naogopa ma doggy

Saa hii nadarwa na mabitch ka dolly

Nilifikaje hapa bila wao ku notice

Time is now na jina ni Breeder, konkii

Nikiamka

Naasha ngiayi, napiga ngasha

Nakunywa ngaiyi, naasha ndai

Nadunda nai, zoza watoto after kirai

Ziko kwa drop zone hizo ma mali

Cheki kwa drop zone, aki walai

Aki walai, aki walai

Cheki kwa drop zone, aki walai

Nikiamka

Naasha ngwai, napiga ngasha

Nakunywa ngiayi, naasha ndai

Nadunda nai, zoza watoto after kirai

Ziko kwa drop zone hizo ma mali

Cheki kwa drop zone, aki walai

Aki walai, aki walai

Cheki kwa drop zone, aki walai

Más De Breeder LW/Wakadinali

Ver todologo