menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

All In

Kt/Bertonhuatong
lovefengfenghuatong
Letras
Grabaciones
Oh yeah, yeah

Uliona natokwa machozi ukanifuta

Ndio maaana ukiwa karibu yangu sijawai kujuta

Zile leo sina kitu mamy ukani vuta

Moyo umejaaa chuki za mapenzi ukazi futa

Nalia nae, nacheka nae

Hata now akichukia tukutane baadae

Navimba nae popote natimba nae

Kwake Hakuna cha siri asa kwanini mi nikatae

Bling bling bling, head to toes unang'aa

I'm that king, unayeniita shujaa

You make sing, soon nazipata chapaa

Ni flights tunavuka border tunajichimbia panapofaa

Kusifiia mapenzi, I swear nina haki

Umenionyesha maana upendo mambo ya mjini huyataki

Simu za marafiki usiku mkutane samaki

Mambo ya mjini kujiachia friends mtoke for party

(Mtoke for party)

Si tuko busy

No pressure we take it easy

Tushine mpaka wanafiki wakituona wajiulize

Mapenzi ya romeo and juliet

Imebidi nipoe nitulieee

Kwako imebidi nitulieee mamaaa

Uliona natokwa machozi ukanifuta

Ndio maaana ukiwa karibu yangu sijawai kujuta

Zile leo sina kitu mamy ukani vuta

Moyo umejaaa chuki za mapenzi ukazi futa

Nalia nae, nacheka nae

Hata now akichukia tukutane baadae

Navimba nae popote natimba nae

Kwake Hakuna cha siri asa kwanini mi nikatae

Ndio nisha fall yeahh

Mimi mfa maji kwako ndo nisha zama nifanye nivuke

Siwezi ku flow yeah

Chunga sana moyo ndo nimekupa so baby nivusheee yeahh

Mapenzi sio mimi wa kwanza

Ndivo yalivo mapenzi ni ukweli sio ndivo sivo

Kama ukitokwa machozi ujue mi nipo

My baby mama, sweet mamito

Mpaka kiama ntakuja ulipo

Let u meet the fam uone my people

Machozi elfu moja nkikulizaa girl

Ntakupa love sita kuumiza girl

You don't need too much you need to see the world ohh ohhh

Nalia nae, nacheka nae

Hata now akichukia tukutane baadae

Navimba nae popote natimba nae

Kwake Hakuna cha siri asa kwanini mi nikatae

Uliona natokwa machozi ukanifuta

Ndio maaana ukiwa karibu yangu sijawai kujuta

Zile leo sina kitu mamy ukani vuta

Moyo umejaaa chuki za mapenzi ukazi futa

Más De Kt/Berton

Ver todologo