menu-iconlogo
huatong
huatong
Letras
Grabaciones
Anada what London, London

Anada banger Fresh what Fresh ganga Mbuzi

Mbuzi ganga

Zi mbaka zi mbaka zi zi zii

Ana sura ya binti na akilizi

Ni kiziwi huyu jua akimpa ndizi

Ski sitishiki hii ni kali timki

Kaikubambe ni bambe tubambe (sii)

Obulamu buwoma nga nanasi (sii)

Zinamu ak'olumu bwofina chance (sii)

Nze tebikyanemazamu ebye eno ensi (sii)

Yo artin olwalera ninna vibe

Nze abakazi si sosola tribe

Please don't kill my vibe Twetale nge enjukii mu bee hive

Tolina kyongamba nze nawamba

One y'enamba ba pipo bwebagamba

Gal shake your bum bum muziki tam tam

Kambele transporter

Jonathan statham

Eyo Kenya mambo vipi are you happy

Nze ndi happy, bulamu bwensi bumpi

Uganda mambo vipi are you happy

Nze ndi happy, obulamu bwensi bumpi

Africa mambo vipi are you happy

Nze ndi happy, obulamu bwensi bumpi

Zi mbaka zi mbaka zi zi zii

Ana sura ya binti na akilizi

Ni kiziwi huyu jua akimpa ndizi

Ski sitishiki hii ni kali timki

Kaikubambe ini bambe tubambe (sii)

Kasindizi matoke na mananasi (Sii)

Ka si mbuzi basi mtananasi (sii)

Kasinyolo hatukaki mahennesy (sii)

Ni lazima shower

Nakuosha for closure

Man I have a thing for Wabosha

Hayi ni Bambi can you bubble and bambii

Misitualiya can you handle dhambii

Niko na ray of hope wapi amba rose

Ni mkamba sa alidai kulamba dose

Sina kamba kudai na siwezi lose

Lose note hui n suicide note

Take notice incase me nishushe roho

Take notice incase nikushushe roho

Take moti na kesho ulale fofofo

Kuna bitches chiwawa na kokoko

Zi mbaka zi mbaka zi zi zii

Ana sura ya binti na akilizi

Ni kiziwi huyu jua akimpa ndizi

Ski sitishiki hii ni kali timki

Kaikubambe ini bambe tubambe (sii)

Kasindizi matoke na mananasi (Sii)

Ka si mbuzi basi mtananasi (sii)

Kasinyolo hatukaki mahennesy (sii)

Huwezi niki f jifunza ilishanifunza

Chunga fan wako akisha nitease atakutoka

Drip ni ya kukatak na shoka si nimedunga

Ex ananidai na mimi sijadunga

Ka hauni bambi kwako me siwezi waste dhambi

Usikuje form ka unajua we huchangi

Ka haujajipanga we jua leo hukati

Me hulamba ganji tu juu chumvi si skari

Sauti za mayolo, huwezi ni onea ata ukuje na digolo

Naeza roga adi msanii arudi ocha

Mbuzi rende rende mistari za itoka

Zi mbaka zi mbaka zi zi zii

Ana sura ya binti na akilizi

Ni kiziwi huyu jua akimpa ndizi

Ski sitishiki hii ni kali timki

Kaikubambe ini bambe tubambe (sii)

Kasindizi matoke na mananasi (Sii)

Ka si mbuzi basi mtananasi (sii)

Kasinyolo hatukaki mahennesy (sii)

Kaikubambe ni bambe tubambe (sii)

Obulamu buwoma nga nanasi (sii)

Zinamu ak'olumu bwofina chance (sii)

Nze tebikyanemazamu ebye eno ensi (sii)

Más De Mbuzi Gang/Fik Fameica

Ver todologo