menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

Shamra Shamra (feat. Mejja)

Mbuzi Ganghuatong
msykes173huatong
Letras
Grabaciones
Haka kadem kazuri jo kako Vero

Kisham sham kinyam kitam tam

Shuka na ngeus siwezi mind hata Kapedo

Dem ni kafupi kanapenda magendo

Ngoma ni kali uliza makurutu kang gang

Imebaki shangwe kelele na nderemo (Wueeeh)

Shamra shamra kelele na nderemo (Ayayaaya)

Shamra shamra kelele na nderemo (Wueeeh)

Kisham sham kinyam kitam, shamra sham

Kisham sham kelele na nderemo

Kisham sham kinyam kitam, shamra sham

Kisham sham kelele na nderemo

Sherehe ni major tumekuja hadi na tumbla

Tulibeba Mejja yule alifanya bablas

Mbuzi ndio rende tunaroga hadi wakamba

Ole kitanda, ole, ole kadanda

Tingisha kichwa na kisha kamwage dandruff

Kingfisher na picha ashaanza kupiga lap

Snap snap sa anadai kujipa nyap

Yap yap tuite tupige nap

Haka kadem kazuri jo kako Vero

Kisham sham kinyam kitam tam

Shuka na ngeus siwezi mind hata Kapedo

Dem ni kafupi kanapenda magendo

Ngoma ni kali uliza makurutu kang gang

Imebaki shangwe kelele na nderemo (Wueeeh)

Shamra shamra kelele na nderemo (Ayayaaya)

Shamra shamra kelele na nderemo (Wueeeh)

Kisham sham kinyam kitam, shamra sham

Kisham sham kelele na nderemo

Kisham sham kinyam kitam, shamra sham

Kisham sham kelele na nderemo

Pesa sabuni ya roho inafanya mi ni

Bash nawaekea minyoo nakata maji Kinoo

Mapenzi mi huwanga dingonyo

Kurudi kwa shimolo

Huku ni fly ding'oi

Napiga simple stivo

Na huwa mi sijali

Sijali ka una chali

Naweza pita na wewe

Bila hata tafadhali

Daily niko majani

Mbuzi yuwa angani

Mi hunyonga tai tu

Za monkey hapa sidhani

Haka kadem kazuri jo kako Vero

Kisham sham kinyam kitam tam

Shuka na ngeus siwezi mind hata Kapedo

Dem ni kafupi kanapenda magendo

Ngoma ni kali uliza makurutu kang gang

Imebaki shangwe kelele na nderemo (Wueeeh)

Shamra shamra kelele na nderemo (Ayayaaya)

Shamra shamra kelele na nderemo (Wueeeh)

Kisham sham kinyam kitam, shamra sham

Kisham sham kelele na nderemo

Kisham sham kinyam kitam, shamra sham

Kisham sham kelele na nderemo

Niaje msupa (Niaje)

Niko na telent (Ka gani?)

Naeza fungua bra na mkono moja

Unataka kuona.? (Siwezi mind)

Okey keti chini ah geuka hivi

Wacha nicheze ka mimi na ulimi

Usitoe nitakuchapa na hio mini

Chali yako kwa simu kelele

Chali yako ni stress ye ni msenge

Mpige block tupige sherehe

Usilie mami sikiza magenge

Nitakutoa stress na nikupunguzie nyege

Haka kadem kazuri jo kako Vero

Kisham sham kinyam kitam tam

Shuka na ngeus siwezi mind hata Kapedo

Dem ni kafupi kanapenda magendo

Ngoma ni kali uliza makurutu kang gang

Imebaki shangwe kelele na nderemo (Wueeeh)

Shamra shamra kelele na nderemo (Ayayaaya)

Shamra shamra kelele na nderemo (Wueeeh)

Más De Mbuzi Gang

Ver todologo

Te Podría Gustar