Eh toka watu, leo natoka watu
Eh toka watu, ujue kuna watu na viatu
Toka watu, leo natoka watu
Eh toka watu, ujue kuna watu na viatu
Ai we sikuamini
Na nikiwa boss sikuajiri
Ai we sikuamini
Dem wangu aliku call kwa nini
Ai we hadi lini
Deni yangu hujanilipa miezi mbili
Na klabu nakucheki na madenge wawili
Nyama choma na ki tusker baridi
Na dem simwamini akidunga ka mini
Tamaa yangu si tamaduni
Nafuata tu sheria na nasonga na kanuni
Sura ni kwa wote pesa ndio sabuni
So toa ulicho nacho hata kama ni sumuni
Ndio malipo utapata ni binguni
Na huaga niko rada kwanza saa ya mamkuli
Ndio wazembe niwashow hamkuli
Eh toka watu, leo natoka watu
Eh toka watu, ujue kuna watu na viatu
Toka watu, leo natoka watu
Eh toka watu, ujue kuna watu na viatu
Ai we sikuelewi
Hamwezibonga daily na hupewi
Ai we sikuelewi
Na huwezibonga ukweli ka hulewi
Ai we sikuelewi
Hata ukibonga ka kaimenyi
Pararira zako kwa masikio haipenyi
Kisu yako ikinidunga haipenyi
Lunch ka ni kuku leo nakula kienyeji
Sina time ya kuimpress mwenyeji
Na kiu niko nayo inaezakunywa mfereji
Avocado nitatoka shemeji
Nacheza tu kivyangu ju sidai ikue mechi
Ka si tamu basi haikuemeshi
Na mtaani niko solo leo na call tu wangechi
Kuna bash na sidai kuona jeshi
Eh toka watu, leo natoka watu
Eh toka watu, ujue kuna watu na viatu
Toka watu, leo natoka watu
Eh toka watu, ujue kuna watu na viatu
We tukana nilijengwa na mchanga
Ka maombi haiwezi endea mganga
Siku moja mtaniita father Abraham
And and and his many sons
Moja ni otero
Moja ni prezo
Mzungu ntamdandia azae odiero
Or Michael angelo
Chora alejandro
Jamaa living legend na hiyo si vako
Tujifiche, tujifiche
Mambleina wanakam na maridhe
Toka watu toka watu
Ka marende ni ya makiatu
Eh toka watu, leo natoka watu
Eh toka watu, ujue kuna watu na viatu
Toka watu, leo natoka watu
Eh toka watu, ujue kuna watu na viatu
EH what a gwan
EH what a gwan, what a gwan, what a gwan
Ochunglo family what a gwan
EH what a gwan, what a gwan, what a gwan