menu-iconlogo
huatong
huatong
Letras
Grabaciones
Ah nakufa (sudah)

Maa sherry

Sherry kimula mimi nakufa

Ani nyajomoko mami itoyo funde na

Ahero sana pile irundoga wiya

Nyathi jomoko adieri ilalo ga pacha

To donge adengo ti kayudo konyrwok na

An weya uru mondo asunge ja batha

Opong' to mwol atoti unanimalisa

Ni isi na wewe milele mpaka kufa

Unisalie watoto mamaa (unasilie watoto)

Nakuahidi hutokosaa

Ayie idho gode mondo aketie kon e mesa

Asekoyie in koro ateri moso anywola mamanaa

(Yee mziki santimaa, mziki bila jasho)

Sherriieeee

Mamaaaaa

Babyyyy

Nakufa, nakufa, nakufa

Nakufa nakufa nakufa

Sherriieeee

Mamaaaaa

Babyyyy (ololo)

Nakufa, nakufa, nakufa (Aah mama)

Nakufa nakufa nakufa

Mama sherry, usiniache mi ntakufa

Kila unapo nipigia simu lazima nitakuja

Ukisema nikuje jioni nitanunua chupa

Tupendane mpaka kufa

Ooh sherry mapenzi ya leo naogopa

Kwanza warembo wa ngolopa aaaiih

Wameweka mitego kwenye mabaa ooh lord

Ila ukinitega sitakataa

Nitakopae

Nitalimae mama

Nitachanga

Nitaiba oooh

Tupendane mpaka kufa

Sherriieeee

Mamaaaaa

Babyyyy

Nakufa, nakufa, nakufa (aah mama)

Nakufa nakufa nakufa (ooh sherry)

Sherriieeee

Mamaaaaa

Babyyy

Nakufa, nakufa, nakufa

Nakufa nakufa nakufa

Baby babe, nishaachana na maform zaashura babe

Hata nafula namba yake nimefuta aaah

Nakuassure aah eeh

Usiku silali naona sura yako mrembo

Daily natamani kwako ningekua visible

Nateswa na rada kila nikikuona na huyu jamaa (huyu jamaa)

Kweli mamaa unanifaa waniua (murder, murder)

How do I live without you baby

Nenya uve manje

Nipeleke eregi kwa mamaa

Nimwelezee na babaa

Girl I need you in my life

Naona wivu

When I see you holding hands

Kama mwezi usiku

Baby you know you're the one

Sherriieeee (baby you the one)

Mamaaaaa (Without you I can die)

Babyyy (baby eeeh)

Nakufa, nakufa, nakufa (Baby eeeh)

Nakufa nakufa nakufa (heiyee)

Sherriieeee (baby nakuhitaji eeh)

Mamaaaaa (without you siwezi)

Babyyy

Nakufa, nakufa, nakufa (Babi yeiye)

Nakufa nakufa nakufa (nakufa, nakufa)

Más De Okello Max/Bensoul/Amlyoto

Ver todologo