menu-iconlogo
logo

Ananipenda

logo
Letras
Ananipenda nikinuna nuna ananibembeleza

Ananipenda moyo ushazama kwake eti ameniweza

Wengi wanasema ni ushamba kupenda ama kupendwa

Ila leo nataka niwaambie

Wala sioni kama ni ushamba

Kupenda usipopendwa

Ila aaah acheni niwaambie

Akinuna siwezi kulala moy unaniuma

Nakosa raha namuwaza yeye

Nikinuna hawezi kulala moyo unamuuma

Anakosa raha ananiwaza

Ameitawala akili

Namdhibiti anidhibiti

Eeeh

Alipo nipo nami nilipo yupo

Ananipenda nikinuna nuna ananibembeleza

Ananipenda moyo ushazama kwake eti ameniweza

Ameniwezaaa

Oooh no Oooh nooo Eeeh

Eti anasema akinywa maji

Ananiona kwenye glasi

Nami samaki ye ndo maji

Nampatia nampatia

Mi mwenyewe siwezi kula

Yani chakula hakipiti

Hata nikikunywa maji

Ananipatia ananipatia

Aaah kama sio mimi

Ni wapi angepata faraja anajiuliza Aaah

Eeeh kama sio yeye ni wapi

Ningepata faraja mi najiuliza aaaah eeeh

Anapendaga Aaah kila mara anione eeeh

Alipo nipo nami nilipo yupo

Anasema

Ananipenda nikinuna nuna ananibembeleza

Ananipenda moyo ushazama kwake eti ameniweza

Ananipenda nikinuna nuna ananibembeleza

Ananipenda moyo ushazama kwake eti ameniweza