menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

Miondoko

Rico Gang/Mbuzi Ganghuatong
mimicile76huatong
Letras
Grabaciones
Baby

Black market records

Yeah

(Baby) cheki

Magix (aah) enga on the beat

Ati eeh

Banjuka ni kama unarusha mamikono eeh

Tingisha kichwa chunga usivunje kisogo

Eeh teremka teremka ka kono kono

Basi ni kionjo twende mamiondoko

Eeeh mamio mio mio mio miondoko

Eeh mamio mamio mamiondoko

Eh mamio mio mio mio miondoko

Saa si inadonjo wah ni kumoto

Eeeh mamio mio mio mio miondoko

Eeh mamio mamio mamiondoko

Eh mamio mio mio mio miondoko

Saa si inadonjo wah ni kumoto

Ati kale kadance cheki kale kadance

Kwanza ukiwa kijaba ndo unapewa kichance

Slow but sure na ukizitoka unarelax

Ru-rusha mikono juu ni kama hujui kudance

Ah toa kofia na mkono wa kulia

Pa-panguza kihara bas na utoe kijasho

Moonlight love kwa jua na mpango wa kando

Ndo ndo ndo kicianda mmeitana matando

Eeh

Mamiondoko mami si poko

Ka kuna njoti tunaachana na popcorn

Ongeza flow na doh ju tumedonjo

Alisema ni fastee but hio ni uongo

Si kienyeji huyo dem ni mwitu

See through niliacha chuo nipedi P2

Hii tu ndani ya msitu iko na jitu

Please tu nimemada Harry washow kitu

Eeeh mamio mio mio mio miondoko

Eeh mamio mamio mamiondoko

Eh mamio mio mio mio miondoko

Saa si inadonjo wah ni kumoto

Eeeh mamio mio mio mio miondoko

Eeh mamio mamio mamiondoko

Eh mamio mio mio mio miondoko

Saa si inadonjo wah ni kumoto

Round za mtaa nikapata Mia Khalifa

Mia kadhaa, mami mia akajipa

Pale kwa local kwa ile mbogi ya FIFA

Teremsha, teremsha angusha ka ka litre

Alikula face, girimba alikuja face na rira

Na tuko East tuliza venye alifanywa

Miondoko lazima ondoka kama umezima

Uliza Harry Craze venye alifanya

Alichoma mbogi wakadai kuokoka

Hapa ka hujui kudance ni urudi kule umetoka

Ndani ya club first na wa mwisho kutoka

Rombosea boy fisi ni ka kiuno ina motor

Oka, one night na mimi unaomoshwa

Miondoko funny tu kama kwako umekosha

Ukikam bash bila body unaondoka

Vunja mifupa miondoko bado stopper

Eeeh mamio mio mio mio miondoko

Eeh mamio mamio mamiondoko

Eh mamio mio mio mio miondoko

Saa si inadonjo wah si ni kumoto

Eeeh mamio mio mio mio miondoko

Eeh mamio mamio mamiondoko

Eh mamio mio mio mio miondoko

Saa si inadonjo wah si ni kumoto

Banjuka ni kama unarusha mamikono, eeh

Tingisha kichwa chunga usivunje kisogo

Eeh mamio mio mio mio miondoko

Mamio mamio mamiondoko

Eeh mamiondoko

Mamio mio mio mio miondoko ndoko

Más De Rico Gang/Mbuzi Gang

Ver todologo