menu-iconlogo
logo

Kuliko Jana

logo
Letras
Bwana ni mwokozi wangu,

Tena ni kiongozi wangu

Ananipenda leo kuliko jana

Baraka zake hazikwishi, si

kama binadamu habadiliki

Ananipenda leo kuliko jana

Kuliko Jana

Kuliko Jana

Yesu nipende leo kuliko jana

Kuliko Jana

Kuliko Jana

Yesu nipende leo kuliko jana

Nakuomba Mungu awasamehe

Wangalijua jinsi unavyonipenda

mimi wasingenisema

Na maadui wangu nawaombe maisha

marefu, wazidi kuona ukinibariki

Ujue binadamu ni waajabu sana

Walimkana Yesu mara

tatu kabla jogoo kuwika

Ujue binadamu ni waajabu sana

Walimsulubisha Yesu Messiah bila kusita

Bwana ni mwokozi wangu,

Tena ni kiongozi wangu

Ananipenda leo kuliko jana

Baraka zake hazikwishi,

si kama binadamu habadiliki

Ananipenda leo kuliko jana

Kuliko Jana

Kuliko Jana

Yesu nipende leo kuliko jana

Kuliko Jana

Kuliko Jana

Yesu nipende leo kuliko jana

Wewe ndio nategemea,

kufa kupona baba nakutegemea

Chochote kitanikatsia, kuingia

mbinguni utaniondolea (oooh oooh yeah)

Wewe ndio nategemea, (amen)

kufa kupona baba nakutegemea (oh oh)

Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni

utaniondolea (wewe, ndio nategemea)

Wewe ndio nategemea,

Kufa kupona ndio nategemea (Eh bwana)

Chochote kitanikatsia,

kuingia mbinguni utaniondolea

Wewe ndio nategemea,

kufa kupona baba nakutegemea

Chochote kitanikatsia,

kuingia mbinguni utaniondolea (oooooooh)

Bwana ni mwokozi wangu,

Tena ni mkombozi wangu

Ananipenda leo kuliko jana

Baraka zake hazikwishi,

si kama binadamu habadiliki

Ananipenda leo kuliko jana

Kuliko Jana

Kuliko Jana

Yesu nipende leo kuliko jana

Kuliko Jana

Kuliko Jana

Yesu nipende leo kuliko jana

Wewe ndio nategemea (wewe),

Kufa kupona baba nakutegemea (wewe)

Chochote kitanikatsia (uh huh),

kuingia mbinguni utaniondolea

Wewe ndio nategemea (oooh),

Kufa kupona baba nakutegemea

Chochote kitanikatsia

kuingia mbinguni utaniondolea

Bwana ni mwokozi wangu,

Tena ni mkombozi wangu

Ananipenda leo kuliko jana

Baraka zake hazikwishi,

Si kama binadamu habadiliki

Ananipenda leo kuliko jana

Kuliko Jana

Kuliko Jana

Nipende leo Kuliko Jana