menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

Usiku Mwema

Ibraahhuatong
ocallaghandonnahuatong
Paroles
Enregistrements
Haijalishi tumegombana,muhimu tunapendana

Siku zote mapenzi hayakosi mikwaruzano

Kama massage si umeziona,sijaleta kona kona

Ukweli nakupenda kweli, sina mwingine msemo

Ety umeacha msemo ety,ety me sina

Yaan kama kuku mdori,sina nyendo

Tena usije unda maneno ety, sina radha mchicha poli

Nikikosa siombi sorry utazua skendo

Shida baridi yanibana mbavu

Machozi tiriri kwenye mashavu

Usiniuze ka chuma chakavu ni weweee

Kama we mchicha me ndo mnavu

Na we ndo tag ubavu

Bac rudi nijione shupavu nielewe

Kama utaki nielewa bac

Usiku mwema×2

Usiku mwemwa (ulale salama)

Usiku mwema (nakupenda sana)

Usiku mwema×2

Usiku mwema (ulale salama)

Usiku mwema (nakupenda sana)

Nimemisi lako tabasamu

Na ile kitu isoniisha hamu

Me napagawa ujue,nasiko sawa ujue

Mwingi wa busara na nizamu

Tajiri wa maneno matamu

Weee ndo Pozo langu wee,me naweka wazi wajue

Haujiulizi ulivyoondoka umeniachaje,itakuwaje,naishijeee

Nakosa usingizi umekwanda mbali we tembe wangweee

Kutwa chonde chonde mvua isije

Shida baridi yanibana mbavu

Machozi tiriri kwenye mashavu

Usiniuze ka chuma chakavu ni wee wewe

Kama we mchicha me ndo mnavunakupenda

Na we ndo tag ubavu

Bac rudi nijione shupavu nielewe

Kama hutaki nielewa bac

Usiku mwema×2

Usiku mwema (ulale salama)

Usiku mwema (sana)

Usiku mwema ×2

Usiku mwema (ulale salama)

Usiku mwema (nakupenda sana

Davantage de Ibraah

Voir toutlogo