menu-iconlogo
huatong
huatong
maandy-sultan-cover-image

Sultan

Maandyhuatong
spanky_knighthuatong
Paroles
Enregistrements
Ah

Ahyeh

Kabaya

Napenda ma shillingi manaira pounds

Mahali joh imefika nadai sultan

Mali si ya mtu una ngangania

Na si ukona pupa bradhe tulia

Bradhe tulia tulia

Bradhe tulia tulia

Bradhe tulia tulia

Bradhe tulia tulia

Ay weh tulia tulia

Ay weh tulia tulia

Bradhe tulia tulia

Bradhe tulia tulia

Utanipata kona ya club na chali yako

Nikimzungishia baby boy shika tako

Rumor zikianza headline ni jina yako

Lakini ukilalilisha mi napita na beshte yako

Ah

Mako wambo amebeba utadhani ni Aoko

Na ni wa mjengo ananibeba Ka kokoto

Brallete ni see through ju mi sipendi joto

Uliza ata bahati toto ni loto

Shika waist side to side

Drop it down chunga usi slide

Balance kiasi peleka mbele

Tingiza na utese hii mambo haina kelele

Shika waist side to side

Drop it down chunga usi slide

Balance kiasi peleka mbele

Tingiza na utese hii mambo haina kelele

Napenda ma shillingi manaira pounds

Mahali joh imefika nadai sultan

Mali si ya mtu una ngangania

Na si ukona pupa bradhe tulia

Bradhe tulia tulia

Bradhe tulia tulia

Bradhe tulia tulia

Bradhe tulia tulia

Ay weh tulia tulia

Ay weh tulia tulia

Bradhe tulia tulia

Bradhe tulia tulia

Headi shoulder kness and toes

I got h**s for all your bros

Madame wa Kanairo ogopa though

Ata fanya vitu hujaona before

Sura baadaye, baba ukona doh?

Nicall once a month otherwise utanibo

Na nikona chef ka unadai chapo

Hii ni buffet weh serve and go

Ati uko? Ukona chalo

Anasema ananijua, me I don't know

Maybe nilipita na yeh campo

Vaco za kulimana mkiitana bro

Napenda ma shillingi manaira pounds

Mahali joh imefika nadai sultan

Mali si ya mtu una ngangania

Na si ukona pupa bradhe tulia

Bradhe tulia tulia

Bradhe tulia tulia

Bradhe tulia tulia

Bradhe tulia tulia

Ay weh tulia tulia

Ay weh tulia tulia

Bradhe tulia tulia

Bradhe tulia tulia

Davantage de Maandy

Voir toutlogo

Vous Pourriez Aimer