Hey hey hello maa
Laiti ningekuwa unaniona
Vile kila time nakonda nawaza
Kama kukupata nitaweza
Jinsigani kukueleza
Ao uziku bembeleza
Usinikatae utaniumiza
Nakupenda kukutenda sitowdza
Kila time nakuangalia usoni
Maa
Sio kamaa nakosa neno kusema
Ulivyo maaunafanya kosa kunena
Ingawa moyo hautaki kunena tena
Wazo kichwani lina beep kukueleza
Ilavibaya ukinijibu bembeleza
Nahisi sijui bembeleza
Utakataa halafu mi utaniumizaa
Kidesign nakuangalia usoni
Maa
Kuna sign za kuita huko machoni
Maa
Kitu fulani umehifadhi huko
Moyoni maa
Unachotaka nianze mikusema
Hapa unafanya nijonde nitashinda
Hapa unafanya nitamke nakupenda
Ilaunacho jibu mdomoni nitofauti
Nausemacho moyoni
Hey hey hello maa
Laiti ningekuwa unaniona
Vile kila time nakonda nawaza
Kama kukupata nitaweza
Jinsigani kukueleza
Ao uziku bembeleza
Usinikatae utaniumiza
Nakupenda kukutenda sitowdza
Hello maa
Laiti ningekuwa unaniona
Vile kila time nakonda nawaza
Kama kukupata nitaweza
Jinsigani kukueleza
Ao uziku bembeleza
Usinikatae utaniumiza
Nakupenda kukutenda sitowdza
Kati yetu imetawala rangi ya
Pinki
Kitu ambacho moyoni siridhikii
Nacho kuomba tuwe zaidi ya marafiki
Inajionyesha machoni unaafiki
Lugha ya macho kwa sasa nakataa
Tataka tuongee ilitufikie mwafaka
Ooo
Kwenye party ulikuja umependeza
Kwenye ukaniomba kucheza
Tukadance na macho nimekiza
Leni kaficha kupeleza
Kwenye malisa mimi ninakwaleza
Ninakupe meleza baby please
Let me go
Wena unamtaka wako kuona nataka
Chonge anakwa ana baby please
Let me go
We dada leo na misa
We dada mi sijamaliza
We unakata simu please usikate
Maa
Hey hey hello maa
Laiti ningekuwa unaniona
Vile kila time nakonda nawaza
Kama kukupata nitaweza
Jinsigani kukueleza
Ao uziku bembeleza
Usinikatae utaniumiza
Nakupenda kukutenda sitowdza
Hello maa
Laiti ningekuwa unaniona
Vile kila time nakonda nawaza
Kama kukupata nitaweza
Jinsigani kukueleza
Ao uziku bembeleza
Usinikatae utaniumiza
Nakupenda kukutenda sitowdza