menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

Malaika (Fingerstyle)

Miriam Makebahuatong
stevej_madridhuatong
Paroles
Enregistrements
Malaika...

nakupenda malaika.

Malaika...

nakupenda malaika,

Ningekuwa na mali we,

ningekuoa dada.

Nashindwa na mali sina we.

ningekuoa malaika.

Nashindwa na mali sina we,

ningekuoa malaika

Pesa..

zasumbua roho yangu,

Pesa..

zasumbua roho yangu.

Nami nifanyeje,

kijana mwenzio

nashindwa na mali sina we

ningekuoa malaika

nashindwa na mali sina we

ningekuoa malaika

Interclude

Malaika..

nakupenda malaika

Malaika..

nakupenda malaika

nigekuwa na mali we

ningekuoa dada

nashindwa na mali sina we

ningekuoa malaika

nashindwa na mali sina we,

nigekuoa malaika..

Pesa..

zasumbua roho yangu,

Pesa..

zasumbua roho yangu.

Nami nifanyeje,

kijana mwenzio

nashindwa na mali sina we

ningekuoa malaika

nashindwa na mali sina we

ningekuoa malaika

Thanks good luck

Davantage de Miriam Makeba

Voir toutlogo

Vous Pourriez Aimer

Malaika (Fingerstyle) par Miriam Makeba - Paroles et Couvertures