menu-iconlogo
huatong
huatong
nviiri-the-storyteller-pombe-sigara-cover-image

Pombe Sigara

Nviiri The Storytellerhuatong
odat_starhuatong
Paroles
Enregistrements
Oh ooh pombe sigara sigara sigara

Naweza wacha bila kung'ang'ana kung'ang'ana

Lakini hawa wasichana

Vile nawapenda

Ni kama laana laana laana

Oooh sol generation

And that's how we tell aah aah aah

Ooh Lord

Naskia walevi huota na beer

Lakini kuna siri nitawaibia leo

See I'm not addicted to alcohol

I'm not a victim not at all

Yalimpata Samson

Yakampata Solomon

Situation hugeuka tricky

Kila shimo napanda miti

Contribution kwa team mafisi Karura

Eeey situation hugeuka tricky

Kwa hivyoo

Msiniweke kamba kwa shingoo

Pombe sigara

Naweza wacha bila kung'ang'ana

Lakini hawa wasichana

Vile nawapenda aah

Ni kama laana ah

Somebody is cool and not fine

Tell them that's how we tell a heart's gone down

Eti alivunja shingo akalemewa

Akatoa fimbo nje ya ndoa

Na hivo ndivo alijichomea

Eeey situation imekuwa tricky

Kuna shimo alipanda miti

Na hivi sasa ako Kamiti kwa jela

Heey situation hugeuka tricky

Kwa hivyoo

Msiniweke kamba kwa shingo

Pombe sigara ah

Naweza wacha bila kung'ang'ana ah

Lakini hawa wasichana

Vile nawapenda

Ni kama laana ah

Oooh yeah yeah

Pombe sigara ah

Naweza wacha bila kung'ang'ana ah

Lakini hawa wasichana maze

Vile nawapenda

Ni kama laana ah

Oooh yeah yeahyeah

Davantage de Nviiri The Storyteller

Voir toutlogo