Tanpa teruna
N- Y- A S- H- I N- S- K- I I stay fly
G- O- A- T that's no lie
Nabaki T- O- P till I die
Mi siwadanganyi bana
This time umati imesha- decide
Wanati wana- legalise marijuana yeah
Ni funny naona design nilianzishanga mki- rhyme
Ndio maana naji- describe kaa fundi wa ma- career
Ni nini kaa si divine
Kutoka mahali tumetoka hadi kuji- find
Kwa keja zina master mbili huyu mrasta ana akili
Na hamwezi zipima ata mkisimama na ratili over there
Really niko fine check thermometer
UG ishaamua since TZ iko na pombe wana- whine
Na si tuko busy tunagombezana online mapang'ang'a
Saa hiyo nchi inachomeka na hatu- care
Siasa ni za tribal line
Streets ni mimi na jaba na ma- idle mind
Industry ilikuwa flat kila vital sign
Tu- agree comeback yangu ilikuwa right on time
Yeah
N- Y- A S- H- I N- S- K- I I stay fly uh- huh
G- O- A- T that's no lie
Nabaki T- O- P till I die
Hits mingi kaa Them Mushrooms na P- Unit pamoja
Wanasemanga mi ni kaa kikundi mtu mmoja
Kando yangu iko mtu ana kidungi kwa toja
In case wa- try pimana mvi na kocha
Ni mi nasosi kaongezeni chumvi na sosa
Mind iko sharp kama suti inatosha
Shughuli napiga sio lazima mzione
Been here forever na bado ni ngumu mnisome
Sumu jikoni saa ishaiva woo
Umeona nimedumu mwisho umekuwa believer woo
Vichwa vigumu ndio hufika mahali nimefika woo
Kwama na worth yako waseme we ni diva
Ye- ye- ye- ye- ye- ye- ye
N- Y- A S- H- I N- S- K- I I stay fly
Yeah
G- O- A- T that's no lie
Nabaki T- O- P till I die
Kaa mbese na skush I'm a household name
I'm the best ever lose never can't complain
Already in the hall of fame and I'm still playing
Goat s**t I'm forever in my own lane
Brought the game back mi na Sauti hakuna argument
Made a space for you young n***as msiwahi forget
Na hiyo debt huwezi lipa
Wengi hu- guess wanapata hit moja wengi hu- mess wengi huisha
Wengi hutafuta shortcut wanabaki wame- burn
Took time off hii s**t nikai- study na nikai- learn
Kaa ninayo jua nilifanya kazi na nikai- earn
Kaa ni luck basi I'm as lucky as they come
Shinchilla