Aaaaa
Vipi mizigo umeshaweka tayari tayari
Ummm aaa
Sijechelewa kaja achwa na gari na gari
Umm aaa
Basi jikaze usilie mpenzi mpenzi
Aaaa
Mi nitarudi niombee kwa mwenyezi enzi
Aaaa
Zile taabu na njaa
Msimu mzima mavuno hakuna
Huwa nakosa raha
Pale mkikosa cha kutafuna
Roho yangu inauma
Sema ntafanya nini
Na pesa sina
Nakuonea na huruma
Bora niende mjini
Kusaka tumaa
Kama watoto wakinililia
Waambie kesho nitarejea nitarejea
Wadanganye na vibagia
Waambie pipi ntawaletea ntawaletea
Kama watoto wakinililia
Waambie kesho nitarejea nitarejea
Nawe usichoke kuvumilia
Na kila siku kuniombea
Wanajua kwamba nafsi na roho
Vitakuwa na wasiwasi
Ukumbuke na moyo utajawa na simanzi
Ntakapokuwa nakwenda shambani
Afu niko peke yangu honey
Ntapokuja kuwa na majirani ntaumia aaah
Pale napotoka kisimani aaa
Ama nipo na kuni kichwani aaa
Sina wakunitua nyumbani ntaliaa
Maneno yako yananfanya
Nakosa raha
Na mawazo
Hata mwenzako sijawahi kufika da
Huu ndo mwanzo
Vile nakwenda na sijui pa
Kukaaa
Wala mavazi ooh
We niombee niepushwe na
Balaa
Na maradhi ooh
Eeee Kama watoto wakinililia
Waambie kesho nitarejea nitarejea
Wadanganye na vibagia
Waambie pipi ntawaletea
Kama watoto wakinililia
Waambie kesho nitarejea
Nawe usichoke kuvumilia
Na kila siku kuniombea
Unapokwenda kama ukifika salama
Utukumbuke na sisi
Usisahau kama mkeo na wana
Umetuacha na dhiki
Vile usijali ila naomba chunga sana
Ogopa na marafiki
Wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama
Waambie sidanganyiki
Unapokwenda kama ukifika salama
Utukumbuke na sisi
Kumbuka mkeo nyumbani na wana
Umetuacha na dhiki ooh
Vile usijali ila naomba chunga sana
Ogopa na marafiki
Wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama
Waambie sidanganyiki
Ohh
Ntarejea mama
Niombee nirude salama
Ohhh watoto wadanganye
Ihh
Ohhh ama
Usilie usilie
Mpenzi
Umm kama
Kama watoto wakinililia kama
Waambie kesho
Nitarejeanitarejeanitarejea mama
Wadanganye na vibagia
Waambie pipi ntawaletea mama
Kama watoto wakinililia kama
Waambie kesho
Nitarejeanitarejea mama
Nawe usichoke kuvumilia usicho
Na kila siku kuniombea
Jea ma