Ninth record baby
Najua umesteady kwenda
Najua umesteady umeipenda baby
Kula tu kwa macho (kwa macho kwa macho)
Yoh yoh yoh
Msupa anapenda mind games
Houddini nikikula kwa macho sipati the same feeling
We link up in the morning unaikula by evening
Si unaweza hama tuishi the same building
Kula tu kwa macho
Kula tu kwa macho (yoh yoh)
Kula tu kwa macho (big baba)
Kula tu kwa macho (yoh)
Kula tu kwa macho (visita baby)
Ukigusa fika baby
Kula tu kwa macho (kwa macho)
Kula tu kwa macho (yoh yoh big baba)
Kula tu kwa macho
Kula tu kwa macho (yoh)
Kula tu kwa macho (visita baby)
Ukigusa fika bei (yoh)
Kula tu kwa macho (kwa macho)
Bu-bu-budeng watu wanapenda sherehe
Anything I want they go pay
Mbaba akidai heeh nampea tu vislow
Styles za ukoo namshow
Kijana mdogo anataka for free nimpee
Mbaba naye huku manze ana pay
Kijana mdogo kula tu kwa macho
Hizi vitu utazionea kwa ndoto
Kula tu kwa macho ooh
Kula tu kwa macho eeh
Kula tu kwa macho ooooah
Kula tu kwa macho ama kwa ndoto
Kula tu kwa macho (yoh)
Kula tu kwa macho (yoh yoh big baba)
Kula tu kwa macho
Kula tu kwa macho (yoh)
Kula tu kwa macho (visita baby)
Ukigusa fika bei
Kula tu kwa macho
Kula tu kwa macho (yoh yoh big baba)
Kula tu kwa macho
Kula tu kwa macho (yoh)
Kula tu kwa macho (visita baby)
Ukigusa fika bei (yoh)
Kula tu kwa macho (kwa macho)
Ka mini steady kanadai mi' ni niko soko
Kijana mdogo anadai kunipa mboko
Sidai mambo ya ndogo ndogo
Hiyo kitu yako brother mahn ni ndogo
Mi' nadai manze budeng budeng
Juu manze ako na maweng maweng
Anataka kunipa kiting kiting
Bora tu atanipa maching maching
Yoh yoh yoh
Msupa anapenda mind games
Houddini nikikula kwa macho sipati the same feeling
We link up in the morning unaikula by evening
Si unaweza hama tuishi the same building
Tiktok my boo rotate mwili
Tiktok uko live saa mbili
Tukue an item mi' niko willing
Unapenda kublush huh saa ni kwa nini?
Me hufika bei bora mali ni fisa sa
Mbona unaringa au ni juu unatakwa na Breeder
Wee ndo queen hawa madem si wa follow the leader
Juu mapeng hii Nairobi sio wengi kabisa
Huko bukla unadunda unakunywa sambuka
Nakubeba ndani ya ya benzo me staki upande uber
Nakupea mabunda alafu unaongeza gunga
Pitia TRM lakini siishi juja
Big baba mr leta money
Mr twende lojo kama wife ako kejani
Nakutamani adi kushinda grammy
Nikikula kwa macho me siezi vaa miwani
Kula tu kwa macho (yoh)
Kula tu kwa macho (yoh yoh big baba)
Kula tu kwa macho
Kula tu kwa macho (yoh)
Kula tu kwa macho (visita baby)
Ukigusa fika bei
Kula tu kwa macho
Kula tu kwa macho (yoh yoh big baba)
Kula tu kwa macho
Kula tu kwa macho (yoh)
Kula tu kwa macho (visita baby)
Ukigusa fika bei
Kula tu kwa macho (kwa macho)