menu-iconlogo
huatong
huatong
bahati-barua-cover-image

Barua

Bahatihuatong
shannikihuatong
Testi
Registrazioni
Bahati Tena Eh

Ni Furaha Iliyoje Baba Naitoa Moyoni

Na Ni Furaha Iliyoje Kwako Uisike Hewani

Ni Barua Ngapi Nimeandika Kwa Njia Ya Muziki?

Na Nyimbo Ngapi Nimeandika Zisizo Za Riziki?

Ni Barua Ngapi Nimeandika Kwa Njia Ya Muziki?

Nina Nyimbo Ngapi Nimeandika Zisizo Za Riziki?

Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi

Nikikuita Daddy

Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi

Nikikuita Daddy

Kufunga Nikafunga Ila Siri Staki Wajue

Msamaha Nikaomba Kwa Magoti Nisikuzingue

Kufunga Nikafunga Ila Siri Staki Wajue

Msamaha Nikaomba Kwa Magoti Nisikuzingue

Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi

Nikikuita Daddy

Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi

Nikikuita Daddy

Barua Yangu Ya Mapenzi Nimeona Niimbe

Barua Yangu Ya Mapenzi Nimeona Niimbe

Barua Yangu Ya Mapenzi Nimeona Niimbe

Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi

Nikikuita Daddy

Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi

Nikuita Daddy

Ooh Kama Mapenzi Msalabani Ulifanya Zaidi

Na Kama Kipaji, Kwa Burudani Umekuwa Nami

Ooh Kama Mapenzi Msalabani Ulifanya Zaidi

Na Kama Kipaji Kwa Burudani Umekuwa Nami

Kuna Wengi Wanaodai Mapenzi Kumbe Walaghai

Wana Badili Face Kama Kinyonga Kamwe Hawafai

Kuna Wengi Mjini Wanaodai Mapenzi Kumbe Hawafai

Wana Badili Face Kama Kinyonga Kamwe Hawafai

Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi

Nikikuita Daddy

Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi

Nikikuita Daddy

Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe

Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niandike

Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe

Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niandike

Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi

Nikikuita Daddy

Nikikuita Mpenzi Mpenzi Mpenzi

Nikikuita Daddy

Altro da Bahati

Guarda Tuttologo

Potrebbe piacerti