menu-iconlogo
huatong
huatong
Testi
Registrazioni
Mh yeah (naski tifi tifi)

Odi wa Murang'a

(Cheki cheki Aisha Aisha, ni nini)

(We unaskiaje leo, unaskia?)

Naskia zangu zikishuka, ita huyo peddy

Naskianga rumours, niko na wengi

Maybe Fatuma, maybe ni Njeri

Achana tu aha zimeripoti

Naskia wah (yei yeah)

Naskia weh (fiti)

Naskia wih (tifi)

Naskia wah

Zimeshika wah (yei yeah)

Naskia weh (fiti)

Naskia wih (tifi)

Naskia wah

Zimeshika wah

Kinpin ndio tu dre naprefer kwa barabara

Chingri hunimadia appetite mbaya

Mamoshi za makaya zihunifanya nagwaya gwaya

Marapper mara kiss kiss, remedial ondoa swara

Acha haya, nakugwara (yeah)

Acha haya utamwaya (utamwaya)

Naku admire meno white ka cover gara (cover gara)

Tabia usexy Maria Clara

Hii mwaka lazima tutachukua kura

Hii mwaka lazima tutapiga kura

Msupa mbona unanilap, ama ju niko madoh?

Madhe mbona unanihate, ama ju niko mandom?

Hii maisha inakuanga joh ni fupi (fupi)

Uspochunga itakutoa nduki (nduki)

Give my vibe to the realest uri

Live your life to the fullest uwii

Naski ana mood swings niko matingting

Maybe ma cookies, tuko makuti

Toka kehuti msupa ni nyuki

Amenifanya chupri na nilimjua juzi (juzi)

Wah, si hii dunia ikepasuka

Wah, si adi hapa utasukwa

Wah, ndio aende kusuka

Wah, alafu itafikia hao mafupa

Amepanda bei ju ya hali ya uchumi

Na kumbe ye hajui mi hukuanga mrui

Anashow maringo na maenifichia uchi

Na chini ya pillow ndio si huficha udi

Wah hehehehehe

Wih hehehehehe

Woh hehehehehe

Wuh hehehehehe

Naskia wah (yei yeah)

Naskia weh (fiti)

Naskia wih (tifi)

Naskia wah

Zimeshika wah (yei yeah)

Naskia wah (sweetie ai sweetie)

Naskia wih (sweetie ai sweetie)

Naskia wah (sweetie ai sweetie)

Zimeshika wah

Nilipuke nimekunywa chai moto

Zimeripoti, zimeritipo

Zimeningwada walai zimenishika

Sai niko na taki naona mzinga kwa depo

Zimeniraru sitambui mambaru

Hi mwaka ni kujituma ka slippers sura mbaya

Niko mavitu zimenishika, zimeripoti walai zimeritipo

Pull up weekend ukispin tikitiki

Tuko chingri bizibizi

Leta bag zigizigi, na machweda

Na machweda ngoko namteka

Pita hizo 'tepa kepa spender

Kama grader leta, tuko tings matings (walai)

Naskia wah (yei yeah)

Naskia weh (fiti)

Naskia wih (tifi)

Naskia wah

Zimeshika wah (yei yeah)

Naskia weh (fiti)

Naskia wih (tifi)

Naskia wah

Zimeshika wah (yei yeah)

Altro da Boondocks Gang/Ethic Entertainment

Guarda Tuttologo