menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

Taliban

Fathermoh/Katapillahuatong
calripkinhuatong
Testi
Registrazioni
Iyo duka ni kubwa unaieza fungua any time

Naeza ingia bora unalugha na bora unakeja

Bora una sura, bora una mali, haitaki ata maganji

Kidole ya kati nimelea siku izi pupa juu imemea

Iyo no kani kogomea ako paka imetembea

Paka nini yani? Paka woi, paka woi chorea

Paka toa kutu kwa chuma yaani chuma ogelea

Paka nzuri kwani? Eeh oh sikumetegemea

Ao marapper? Ao marapper watoto wangu wa chekechea

Starehe kwa stu nikiroga ah ah me nawachekelea

Wanateketea teketea, me naendelea

Promise nikipata hii kiti ni wivu mtanionea

Me ni taliban (Taliban)

Me huitisha pombe na can (Pombe na)

Me huendesha doggy ka van (Doggy ika)

Dog man sit don disturb (Oooh)

Basi sema taliban (Taliban)

Bigman taliban (Big man taliban)

Sitoshi kwa hii calibar (Sitoshi kwa hii calibar)

Taliban calibar (Taliban calibar)

Skiza kwa makini

Talanta ya Simi Jicho nyanya see me

Kujichocha si mi

Kanasema sisi si wabaya ah si lii

Nyani kalinyongwa jana mkono iko guilty

Kaa chini uwe pimbi, cheki sa kipindi

Niite God jina adi simba anani tii me

Ndo kufika izo nini mnatema nyinyi

Kametekwa na wengi sehemu sio ya sir

Me ni taliban (Taliban)

Me huitisha pombe na can (Pombe na)

Me huendesha doggy ka van (Doggy ika)

Dog man sit don disturb (Oooh)

Basi sema taliban (Taliban)

Bigman taliban (Big man taliban)

Sitoshi kwa hii calibar (Sitoshi kwa hii calibar)

Taliban calibar (Taliban calibar)

Triand

Yeah, kovi noma ya ulimi na vidole (Taliban)

Nina wamama ukihate pigwa ndole (Taliban)

Unaringa na unakaa mzazi (Aiyaa) Msikiss hizo buda don't judge

Nilipea Vic feee na akaua beat (Badness)

Wao hunilipa ndo nisireply diss

Nadai ganji sina shughuli na beef

Ukijidai funny nakuchekesha na hit

Katapilla

Ka-tapilla ah I remember my exes wakisema

"No romance bila finance"

Sahi me ndio daddy they be asking me for guidance

Flow getting finna cant jenga you is a minor

Hoping the loo will design me

You fake it you made in China

Double O seven vile nabond na mafans

Lazima nipande ndege ndo mjue boys anaenda far

We utakang'wa kwa gweruz usipojipanga vile umekaa

So make sure uko cha mbele wasikucross juu ya chapaa

G nikona allergy ya kuwa a broke nigga skuma the gwala

G ni guarantee nikispit itakill it

Me wananitii focused kulisha family

Hizo zingine ni funny G

Me ni taliban (Taliban)

Me huitisha pombe na can (Pombe na)

Me huendesha doggy ka van (Doggy ika)

Dog man sit don disturb (Oooh)

Basi sema taliban (Taliban)

Bigman taliban (Big man taliban)

Sitoshi kwa hii calibar (Sitoshi kwa hii calibar)

Taliban calibar (Taliban calibar)

Willis Raburu

Akikutusi mtusi (Taliban)

Akikula fare kula yeye (Taliban)

Akijifanya anatoa wallet wewe toa boxer

Kila mtu ajipime na nguvu yake

Unti further notice, aah hii ni ya until Fathermoh

Altro da Fathermoh/Katapilla

Guarda Tuttologo