We ni peng unafaa baby girl treatment
Forget your broke ex ntakutreat viddiferrent
As in no offence lakini apo nayo ulimess
Peng hafai kukua na msee mwenye hamtreat ka princess
Najua how to treat a lady right nko na manners
Being a nice guy nilifunzwa na my moma
Allergic to bad vibes napenda kujibamba
Lil maina vibe baby girl me ni stunna
Na bado me ni mnasty
Real nasty I swear
Niko na gari inaeza beba watu 71 parking
Mimi plus wewe na 69 apo backseat
Peng ting hafai kua na chali msoto
So nadai ganji zote nishai cheki kwa ndoto
Bad boy kuwacharaza maviboko
Peng ting ndo nataka na si local
Toto lightskin, Toto wa kingoso
Toto darkskin, Toto majimoto
A gal toto nadai kuwai joto
Vile unakaa fiti huwezi choma photo
Toto lightskin, Toto wa kingoso
Toto darkskin, Toto majimoto
A gal toto nadai kuwai joto
Vile unakaa fiti huwezi choma photo
I don't talk too much
Utakula mavidevu
Mali yangu don't touch
Ata ka ako idhaa yako
Don't be tempted to touch
Hio mbio umekuja nayo
Rudi nayo reverse
Fisi ntakuslash
Goshodo ni ongongo
Kametoka getho
Kanapenda miondoko
Zake ni makali na kamedunga mangoto
Me ni cool kid alinipenda kimangoto
I don't care
Babe teramos
Bend down pause
Zungusha na force and touch your toes
Babe teramos
Bend down pause
Zungusha na force and touch your toes
Peng ting hafai kua na chali msoto
So nadai ganji zote nishai cheki kwa ndoto
Bad boy kuwacharaza maviboko
Peng ting ndo nataka na si local
Toto lightskin, Toto wa kingoso
Toto darkskin, Toto majimoto
A gal toto nadai kuwai joto
Vile unakaa fiti huwezi choma photo
Toto lightskin, Toto wa kingoso
Toto darkskin, Toto majimoto
A gal toto nadai kuwai joto
Vile unakaa fiti huwezi choma photo