menu-iconlogo
huatong
huatong
Testi
Registrazioni
Hii side kushoodo magoshodo

Wa watoto na kamnyweso

Vi,vidosho ni warembo

Wamekuja hii ruracio

So tunashangaa sa mbona ulioa mapema

Si tunashangaa,sa mbona ulioa mapema

Ahh

Mi hukuanga bada-dan

We ni enemi-nam,Moshi marashi-nam

Juu manzi Sina,haimanishi naenda Jehanam

Ninashangaaa,sisisi,mbona ulioa mapema

Bado ninashangaaa, sisisi, Mbona ulioa

Yeah!

Juu, Of all the men,si we ndio ulichagua fisi

Mkikosana,usi tuinvolve sisi

Tulikosana juu ya something fishy

Unaibaje roho yangu mi siwezi oa mwizi

Hii side kushodo magoshodo jeah

Wa, watoto na kamnyweso, jeah jeah

Vi, vidosho ni warembo

Wamekuja hii ruracio

So tunashangaa sisisi mbona ulioa mapema

Si tunashangaa sisisi mbona ulioa mapema

Bro!? Dowry ni laki mbili na sherehe makali ni elfu mbili

Atii, heri mi heri nichomeke maini

Yani heri mi nisiwahi vunjika moyoni ati

Aaahh sisisi Ame carry city

Sipendangi maziwa malaa freshi titi

Ukiruka mroto,sruki

Easily to find readily seeking

Kelele za club utaipata lini Yani kelele za home unangam fiti

Hii side kushoodo magoshodo

Wa watoto na kamnyweso

Vi,vidosho ni warembo

Wamekuja hii ruracio

So tunashangaa sa mbona ulioa mapema

Si tunashangaa,sa mbona ulioa mapema

Yeah!Cheki

Usha marry itabidi utulie

Achana na wasanii bidii yako jivunie

Tulikuambia uskie ndio mwishowe usilie

Lakini sai ndio unadai tukuaminie,Mbona

Sasa ata huezi enda klabu Mbona

Penye magoshodo wamejaa si mmoja

Kwanza venye wamocho sai ndio zimeshona

We ukitoka kejani,wife anabonda

Unaenda wapi na unarudi saa ngapi

Unajua mm sipendangi akina Harry

Ukilewa sana mungu ataku laani

Ulimarry mapema Cheki sai ahhh

Hii side kushoodo magoshodo

Wa watoto na kamnyweso

Vi,vidosho ni warembo

Wamekuja hii ruracio

So tunashangaa sa mbona ulioa mapema

Si tunashangaa,sa mbona ulioa mapema

Altro da Joefes/iPhoolish/Fathermoh/Harry Craze

Guarda Tuttologo

Potrebbe piacerti