Seti Juu mi stakataa, ukinieka kwa roho chunga
Juu unaeza pata heart attack
Mteja Wa nambari hapatikani pole samahan
Crazy coz we badder dan
You better hide your girlfriends Eiy Nayo nayo
Alidai kuguza nini akapelekwa Choche
Ukikuja na chic atarudishwa akiwa nyonde
Tabia ni za kigheto hmm na luku za kibombe
Ukianza kunikunywa baby navunja kikombe
Ukikuja ukiwa freshi utatoka ukinuka shonde
Manzi yako ni mcheap skuizi ye hutekwa na pombe
Alidai kuguza nini akapelekwa choche
Ka hudai kung'oka meno medi tu mi usinikosee
Niko njaa kaa maskini
Vile amedunga mini
Shwarie mali safi kwa kiuno anampini
Tabia za mjini nampeleka down chini
Aliguza nini ikabaki ajaamini
Me hutumianga android tenje yangu inangasiri
Niko na mabundles unaeza tuma terries
Niite pocher vile niko na ngiri
Shwarie noisemaker shhh me ni piri
Vile ni mtamu imebakisha tu chillie
Party na machizi
Speed ni ya ferari
Kama amenchizi natuma tu ferare
Seti Juu mi stakataa, ukinieka kwa roho chunga
Juu unaeza pata heart attack
Mteja Wa nambari hapatikani pole samahan
Crazy coz we badder dan
You better hide your girlfriends. Eiy Nayo nayo
Alidai kuguza nini akapelekwa Choche
Ukikuja na chic atarudishwa akiwa nyonde
Tabia ni za kigheto hmm na luku za kibombe
Ukianza kunikunywa baby navunja kikombe
Ukikuja ukiwa freshi utatoka ukinuka shonde
Manzi yako ni mcheap skuizi ye hutekwa na pombe
Alidai kuguza nini akapelekwa choche
Ka hudai kung'oka meno medi tu mi usinikosee
Chizi vile anameza rungu na ana mh mh tighty
Kabla mechi dry gin alale kama maiti
Njwang'a apa inambao ismame ka lebo ya nikey
Mchezo bado raw kuiva ni sura na lightskin
Ni chafu unaoshwa ka umeanza tabia mbaya
Nadai kumcuff kumbe shawry ni malaya
Ety Zuner nakudai namuuliza tu walai
Kwanza apige 360 madesign apige 180 heh
You been a vibe lately, naeza dai mating
Ata Tubishani ukuwe unalamba ka ice cream
Mkono zigizani shingo inakatwa kivikins
Baeybe sipaki mate
Ikikwama paka colgate
Ngoja kwanza aah aah ee karibu itokee
Nianike kwa macho ukirudi uikose
Hakuna ajali ni ubonge na ubondwe
Pole jo si party kaa si psycho na machizi
Me hukuanga kochare na manzi yako hupenda tizi
Ye upendaga muhogo alitokanga kwa ndizi
Me hudunga kwa kichwa uezi sema haifiki
Seti Juu mi stakataa, ukinieka kwa roho chunga
Juu unaeza pata heart attack
Mteja Wa nambari hapatikani pole samahan
Crazy coz we badder dan
You better hide your girlfriends Eiy Nayo nayo
Alidai kuguza nini akapelekwa Choche
Ukikuja na chic atarudishwa akiwa nyonde
Tabia ni za kigheto hmm na luku za kibombe
Ukianza kunikunywa baby navunja kikombe
Ukikuja ukiwa freshi utatoka ukinuka shonde
Manzi yako ni mcheap skuizi ye hutekwa na pombe
Alidai kuguza nini akapelekwa choche
Ka hudai kung'oka meno medi tu mi usinikosee
Nko tipsy twenty four seven mavela matembe nko madib
Kiforeign kinanyonga kohoa thani n Tb
Nkiwa na thobe kamari lazima tucheze simbi
Spendi X na main area moja juu kua Vitimbi
Antaka mechi akifinywa nduru Ka Firimbi
Nahodtha hodari wajua sigopi Mawimbi
Alikuja kama bestie sai antaka kua Bibi
Navenye ntai dig itabaki ni kichimbi
Kasema I'm all over her body Kama skin
Venye namkunywa utadhani mini gene
Anapiga flash ngango utadhani lyn
Anajua siwezi choka kwa mechi me n Machine
Seti Juu mi stakataa, ukinieka kwa roho
Chunga juu unaeza pata heart attack