menu-iconlogo
logo

Nita Kusahau

logo
Testi
Mi Mwenzako Sina

amani ya mapenzi

Mi Mwenzako Sina

hata wa kunienzi

Umeumiza mutima mama

umebadili na jezi

Unasema umesander

na kunipenda huwezi

Kukicha alfajiri nadanganya

Siri mabaya yako uyache

Umevunja nadhiri

kunipenda Mimi

labda uchungu ukukamate

Umekubwa na nini

ama mdudu jini

Mbona unanifanya nidate

Hata salamu

nikikupa unanichunia

Marafiki zako

akina don Masha na

kina lokole

insta mnanichamba

Mnasema eti mmenipatia

Nami nguvu Sina...

Nitakusahau

Nitakusahau

Nitakusahau

Nitakusahau

Ila bado siamini

upweke wangu

Nakesha ndani kama nini

peke yangu

Nina Michale kama jini

mwilini mwangu

Nife nifukiwe

chini niende zangu

Ila bado mi nawaza

kungojea labda

utarudi basi

uje uniondoe simanzi

utaniua

marafiki zako akina

don masha na

kina lokole

insta mnanichamba

mnasema eti mmenipatia

nami nguvu sina

nitakusahau

nitakusahau

nitakusahau...

oooh oooh ohhh

Nita Kusahau di Mavokali - Testi e Cover